"Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati imehamia vitongojini na vitongoji 64,033 vyote vina umeme, yaani kwa maneno mengine CCM imefanya kazi...