bishop gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa haya mahubiri, Askofu Gwajima lazima atafutwe na chawa

    Chawa lazima watamtafsiri vibaya.
  2. Carlos The Jackal

    Bishop kawapiga Chenga! Kesho ni Maandamano makubwa sana haijawahi shuhudiwa Afrika Nzima !

    Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO . yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ". Hata Mh Polepole kama asingesalitiwa na Mzee Butiku Kwa ushirikiani wa Halotel , mpaka Sasa tungekua na Mh...
  3. Carlos The Jackal

    Samia kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute?

    Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!. Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ? Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
  4. Kipenzi Changu

    PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  5. Carlos The Jackal

    Mnamtafuta Bishop GWAJIMA Kwa nguvu na Rasilimali nyingi sana, Fahamuni ya Kua Bishop GWAJIMA ni Mpakwa Mafuta wa Mungu

    Suluhu ya haya , ni SAMIA SULUHU KUONDOKA !!.
  6. Pakome

    Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  7. Carlos The Jackal

    Swali hili alilouliza Gwajima kwenye press zake, majibu yake yanaenda kupatikana muda si mrefu

    Wao ni wachache, wananchi ni wengi Lile swali alouliza Mzalendo Gwajima: Je akitekwa mtoto wako, akauliwa, akatobolewa macho, Utajisikiaje ?. Majibu yake yatapatikana muda si mrefu. Vijana wameuliwa Kikatili sana. Maiti zinateketezwa Kwa kuchomwa. Maiti zinazikwa Kwa pamoja. Lengo lao ni...
  8. tonicimmobility

    GE2025 Kuna namna Gwajima anawaleta pamoja watu wote wanaothiriwa na huu mfumo wa utekaji

    Wakuu! Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania. Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao...
  9. Stuxnet

    Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  10. Tlaatlaah

    Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao. Kumbuka mapato ya bishop...
  11. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  12. R

    Miaka mitano kwa mbunge yatosha, tuwapumzishe waliokuwepo kupitia funzo alotupa Bishop Gwajima

    Salaam! Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee. Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio...
  13. Tlaatlaah

    Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

    Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
  14. Tlaatlaah

    GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
  15. redpill evengalist

    PreGE2025 Ikitokea Mchungaji Gwajima akajiunga CHAUMMA, upepo wa siasa utabadilika nchini

    Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii.. Na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na...
  16. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

    Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
  17. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Bishop Gwajima , Usisubiri wakate Jina lako, kuanzia leo anza kushusha nondo, Njoo CHADEMA tupambanie No Reforms,No Election

    Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge. Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!. Mungu ana Mpango mkubwa Nawewe , Nikuombe na kukusihi sana katika wakati huu ambao Mh LISSU amekamatwa...
  18. Mganguzi

    Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  19. GoldDhahabu

    PreGE2025 Kwa hili, Bishop Gwajima kathibitisha yeye ni akili kubwa

    Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k. Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni. Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata...
  20. Carlos The Jackal

    Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

    Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?. Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema . Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO...
Back
Top Bottom