bilioni 1

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa Fungu la Bilioni 1.3 kwajili ya kuwaendeleza ndugu kijijini ni bora kuwapeleka shule au kuwawezesha kibiashara?

    Mhusika kajisevu sevu ana fungu la Bilioni 1.3 kalitenga kuendeleza huko kwao Options ni mbili A. Kuwachukua wanaofaulu vizuri form 4 Kuwasomesha chuoni mpaka wanapomaliza degree. sharti ni kusomea kozi za sheria, Engineering, udaktari, ufamasia na uhasibu. 2. Kuwapa mikopo isio na riba...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi azindua msimu wa nne wa CRDB Bank Marathon, Shilingi Bilioni 1 kukusanywa kusaidia afya ya mama na mtoto

    Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation, leo imezindua rasmi msimu wa nne wa mbio za CRDB Bank Marathon ikwa na lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kusaidia kuboresha afya ya mama na mtoto nchini. Uzinduzi huo umefanyika wakati wa mahojiano ya wanahabari na Mke...
Back
Top Bottom