biharamulo

Biharamulo is a town in northwestern Tanzania. It is the district headquarter of Biharamulo District. Biharamulo used to be a German administrative center in colonial times. Biharamulo Game Reserve is located north of the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Biharamulo Real Estate/Investment inakukaribisha uwekeze wilaya Biharamulo

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio wilaya yenye miundombinu imara zaidi katika mkoa wa kagera ,inakuungamisha na Mkoa wa Geita ,Mwanza ,Uganda,Rwanda ,Burundi, Kigoma hadi DRC ndio wilaya yenye idadi kubwa ya watu na makabila mchanganyiko 📞 +255 763 773 192 INAUZA VIWANJA...
  2. Fursa za kuwekeza wilayani biharamulo, ardhi sio tatizo ,karibu

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC 📞 +255 763 773 192...
  3. GE2025 Mwl. Mbelwa Petro asema ikiwa Rais Samia hatapata 99.9% ya kura zitakazopigwa Biharamulo oktoba 29 ashitakiwe mahakamani

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025 amesema ikiwa kura za Dkt. Samia Suluhu Hassan hazitafika...
  4. GE2025 Mwl. Mbelwa Petro ateuliwa kuongoza timu ya kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025. Akizungumza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Mwl. Mbelwa Petro alisema...
  5. Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
  6. GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  7. Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa . Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
  8. GE2025 Ezra Chiwelesa amechukua fomu ya ubunge kutetea jimbo la Biharamulo Magharibi

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhandisi Ezra Chiwelesa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kipindi Cha 2020-2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha pili kama ulivyo utaratibu wa chama hicho. Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea...
  9. Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
  10. BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  11. PreGE2025 Biharamulo: Tunamshukuru mbunge Eng Ezra Chiwelesa kwa wetu kupambania bajeti ya barabara

    WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA NDUGU WAJUMBE. Kabla ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa hajawa mbunge jimbo letu lilikuwa linapokea kiasi kidogo sana cha bajeti cha milioni 688 tu kwa mwaka huku majirani zetu katika wilaya za mkoa wa kagera na taifa zima walikuwa wanapokea mabilioni kila...
  12. PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  13. PreGE2025 Chiwelesa apigana kuhakikisha Biharamulo inapata mji kila kijiji na mtitaa miradi kila kona

    WAJUMBE HII MIRADI MNAIONA KAMA SISI WANANCHI TUNAVYOIONA. Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu na maji kila kona ,kila kata kila kijiji kila bomba haikuwa hivyo kabla ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa hapa biharamulo. Tunakwenda kwenye uchaguzi huku tukiwa na mradi mkubwa wa maji wa ziwa...
  14. Eng Chiwelesa tunaweka vituo vya kuchotea maji Biharamulo, maji ni maendeleo

    Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano . Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria Wananchi ambao ndio...
  15. PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa achangia ujenzi wa ofisi ya CCM ya kata ya Nemba

    UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA . Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba . "Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili...
  16. PreGE2025 Chilewesa: Chumba cha kisasa cha mionzi na X-ray ya kisasa itainu huduma bora ktk hospitali ya wilaya ya serkali Biharamulo

    UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE. Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na kuzinduliwa kuna baadhi ya huduma zilikuwa bado hazijaanza ikiwemo huduma ya mionzi hapa mbunge wa...
  17. PreGE2025 Biharamulo:Huya ndio matumizi bora ya fedha za mfuko wa jimbo

    Wakazi wa kijiji cha Migango hawasafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya tangu zahanati hii iliyojengwa chini ya pesa za mfuko wa jimbo kutoka ofisi ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa kumalizika. Zahanati hii yenye vifaa, toa huduma na mazingira mazuri imekuwa msaada kwa wanamigango...
  18. PreGE2025 Biharamulo: Maboresho ya shule ya msingi kumsali na uwakilishi imara wa Eng Chiwelesa

    MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO . Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua kujenga madarasa kwa kutumia miti na udongo ili kuwanusuru watoto wao walikuwa wakitembea umbali...
  19. PreGE2025 Biharamulo: Gari lililotolewa na mbunge kusaidia limekuwa na tija kubwa

    GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO. Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa kusafirisha vifaa vya ujenzi na misaada ya kibinadamu na kuamua kutoa gari lake likae jimboni moja kwa moja...
  20. PreGE2025 Chiwelesa: Mradi wa maji wa Nyakanazi kuwa mwarobaini wa tatizo la maji Biharamulo

    RUWASA BIHARAMULO WAANZA KUTEKELEZA KWA KASI MAELEKEZO YA KATIBU MKUU NCHIMBI UJENZI WA MRADI MKUBWA WA MAJI NYAKANAZI, TUNAJENGA MRADI WENYE THAMANI YA BIL 2.9 "TUNATARAJIA KUONDOA KABISA CHANGAMOTO YA MAJI KATIKA ENEO LA NYAKANAZI" - BIHARAMULO.* 📍 Ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Maji katika Kijiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…