biden

Joseph Robinette Biden Jr. ( BY-dən; born November 20, 1942) is an American politician and the 46th president-elect of the United States. After defeating incumbent Donald Trump in the 2020 United States presidential election, he will be inaugurated as the 46th president in January 2021. A member of the Democratic Party, Biden previously served as the 47th vice president from 2009 to 2017 and United States Senator for Delaware from 1973 to 2009.
Raised in Scranton, Pennsylvania, and New Castle County, Delaware, Biden studied at the University of Delaware before earning his law degree from Syracuse University in 1968. He was elected a New Castle County Councillor in 1970, and became the sixth-youngest senator in American history when he was elected to the U.S. Senate from Delaware in 1972, at the age of 29. Biden was a longtime member of the Senate Foreign Relations Committee, and eventually its chairman. He opposed the Gulf War in 1991, but supported expanding the NATO alliance into Eastern Europe and its intervention in the Yugoslav Wars of the 1990s. He supported the resolution authorizing the Iraq War in 2002, but opposed the surge of U.S. troops in 2007. He also chaired the Senate Judiciary Committee from 1987 to 1995, dealing with drug policy, crime prevention, and civil liberties issues; he led the effort to pass the Violent Crime Control and Law Enforcement Act and the Violence Against Women Act, and oversaw six U.S. Supreme Court confirmation hearings, including the contentious hearings for Robert Bork and Clarence Thomas. He ran unsuccessfully for the Democratic presidential nomination in 1988 and again in 2008.
Biden was reelected to the Senate six times, and was the fourth-most senior senator when he resigned to serve as Barack Obama's vice president after they won the 2008 presidential election; Obama and Biden were reelected in 2012. As vice president, Biden oversaw infrastructure spending in 2009 to counteract the Great Recession. His negotiations with congressional Republicans helped pass legislation including the 2010 Tax Relief Act, which resolved a taxation deadlock; the Budget Control Act of 2011, which resolved a debt ceiling crisis; and the American Taxpayer Relief Act of 2012, which addressed the impending "fiscal cliff". He also led efforts to pass the United States–Russia New START treaty, supported military intervention in Libya, and helped formulate U.S. policy toward Iraq through the withdrawal of U.S. troops in 2011. Following the Sandy Hook Elementary School shooting he led the Gun Violence Task Force. In January 2017, Obama awarded Biden the Presidential Medal of Freedom with distinction.
In April 2019, Biden announced his candidacy in the 2020 presidential election, and he reached the delegate threshold needed to secure the Democratic nomination in June 2020. On August 11, he announced U.S. Senator Kamala Harris of California as his running mate. Biden won the 2020 presidential election of November 3 against President Trump. Thus, he is only the second non-incumbent vice president to become President-elect of the United States, and the first since Richard Nixon in 1968.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  2. Carlos The Jackal

    Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  3. GENTAMYCINE

    Haya Watanzania mlioko huko Marekani tunaomba Maoni yenu je, nyie mnataka nani kati ya Biden au Trump awe Rais huko?

    GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
  4. SankaraBoukaka

    Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  5. Escobber pablo

    Joe Biden akutwa UVIKO-19

    Rais wa Marekani, Joe Biden (81) yuko karantini kwa muda baada ya kupimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa UVIKO-19, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Marekani, White House. Ugonjwa huo unakuja wakati ambao Biden anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais...
  6. JanguKamaJangu

    Kuhusu mpango wa kuachia nafasi ya kutetea urais wake, Biden asema 'Siendi Popote'

    Rais Joe Biden amesema hataondoka kwenye kinyang'anyiro cha kutetea nafasi ya Urais na kuonya kuwa Donald Trump wa Republican ni tishio kubwa kwa chama chake. Biden (81) amesema hayo katika Mkutano wake uliofanyika Detroit akiendelea kuwashawishi wafuasi wake baada ya baadhi ya Wamarekani...
  7. Jidu La Mabambasi

    Kweli Biden kazeeka, amwita Zelensky President Putin!

    Mzee Biden aachie ngazitu. Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO. Mzee Putin waachie vijana ursis.
  8. The Burning Spear

    PreGE2025 Rais Samia 2025 ni kama Biden tu 2024 tofauti ni kiwango cha Demokrasia

    Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana. Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania. Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
  9. W

    Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

    Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa...
  10. X

    US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

    Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu; "Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi...
  11. Kijakazi

    2025 mwaka wa Mapinduzi, Biden & Co. Out!

    kwa aliyefwatilia mdaharo wa jana D.Trump vs biden atakubaliana na walio wengi kwamba D.Trump is the next President of USA and Tim Scott first (real) black VP of USA. sasa hivi democrats wanafikiria kumbadilisha biden kabla ya uchaguzi kwa maana wameahaona hatoboi, biden ataondoka na wadhaifu...
  12. Observer

    2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

    Wanabodi, Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024. Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
  13. Sigonella Island

    Biden aipiga marufuku Ant Virus ya Kaspersky ya Russia kwa Ujasusi

    Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧 --- 🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE Biden admin will announce plans to...
  14. Lady Whistledown

    Biden asema anaheshimu uamuzi wa Mahakama baada ya Mwanawe kukutwa na hatia ya Makosa ya Uhalifu wa Bunduki

    Rais Joe Biden amesema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya mwanawe kupatikana hatia katika Makosa Matatu ya uhalifu wa bunduki ambaye anakabiliwa na kifungo cha hadi Miaka 25 jela Jopo la Majaji 12 lilimkuta Hunter Biden (54) na hatia ya kusema uwongo kuhusu matumizi yake ya...
  15. Webabu

    Yafahamu yaliyomo ndani ya mpango wa Biden kumaliza vita vya Gaza ambayo Israel wameyakubali na Hamas hawaoni shida kuyatia saini.

    Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu. YA KWANZA Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina. Hatua hii...
  16. M

    Biden awaomba majeshi ya Hamas yakubali pendekezo la Isreal

    Ukisoma BBC Swahili web page yao imeandika kwamba Biden amewaomba Hamas wakubali pendekezo la kusimamisha vita lilotolewa na Isreal. Rais wa Marekani Joe Biden amewataka Hamas kukubali pendekezo jipya la Israel la kumaliza mzozo wa Gaza, akisema kuwa "ni wakati wa vita hivi kumalizika"...
  17. Ritz

    Biden ameitaka Israel kukubali kusitisha vita Gaza

    Wanakumbi. BREAKING: 🇺🇸🇮🇱 Biden: "Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya." Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas...
  18. BARD AI

    Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  19. ward41

    Biden kushinda tena uchaguzi wa Marekani

    November Biden na Trump wanaingia tena kwenye Uchaguzi wa Uraisi kama Wagombea kwenye vyama vyao. Uchaguzi wa 2020, Biden alimshinda Trump kwa kura nyingi tu. Trump alikuwa raisi wa muhula mmoja Safari hii wanakutana tena na Biden bado anaonekana kumshinda Trump. Takwimu zinaonesha hivyo...
  20. data

    Biden kasimama na Israel na kuipinga ICC.. Inatisha.

    https://www.axios.com/2024/05/20/biden-reaction-netanyahu-arrest-warrants-gaza
Back
Top Bottom