biashara ya samaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ormystatus

    Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  2. E

    Fursa ya biashara: Tuungane kukuza biashara ya samaki_Mwanza samaki fresh

    Naitwa Emmanuel Mashack, ni kijana mjasiriamali niliyejikita kwenye biashara ya samaki kupitia mtandao, ninaendesha huduma ya Mwanza Samaki Fresh. Tunasambaza samaki aina ya Sato na Sangala kwa ubora wa hali ya juu moja kwa moja kutoka Ziwa Victoria. 👉Lengo langu: Kupanua wigo wa usambazaji kwa...
  3. E

    Mwanza samaki fresh: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara kwa yeyote anayejihusisha na biashara ya samaki na yupo mikoani basi tuaweza kuwasiliana

    MWANZA SAMAKI FRESH: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara Habari ndugu wanajamii JF: Mimi ni Emmanuel Mashack, mwanzilishi wa biashara ya Mwanza Samaki Fresh, tunajishughulisha na uuzaji na usambazaji wa samaki fresh aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali Tanzania. Kwa...
  4. S

    Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  5. Chomo

    Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa. Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
  6. Goodluck7

    Naomba ushauri kwenye biashara ya kuuza samaki

    Wakuu msaada hapa mawazo tutani, napenda sana biashara ya samaki, naomba kujua ni kwa namna gani nitafanya bishara hii japo kwa mtaji mdogo ila tu inipe faida. Kwa uenyeji mimi nipo mkoa wa mara jirani na ziwa victoria napenda sana kuiweza hii biashara na kama kuna mtu tunaeza piga nae mtaji...
Back
Top Bottom