Habari za muda huu,leo ningependa kutoa mfano wa oda ya mbao ya mteja anaezitoa wilaya ya njombe kuzipeleka Dar es salaam.
Hapo chini nitakuwekea mchanganuo wa gharama na vibali kila kitu,fatiliana na nami:
ENEO LA KUPAKILIA:
Mkoa: Njombe
Wilaya: Njombe
Kijiji: Uwemba
TAARIFA ZA ODA YA MBAO...
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari kama ushuru tofauti na zamani walivokuwa wanacharge 100Tsh kwa ubao.
•TRA...
NYARAKA MUHIMU ZINAHITAJIKA ILI MBAO ZISAFIRISHWE BILA USUMBUFU KWENYE VITUO VYA UKAGUZI NJIANI
1️⃣ Certificates (Vyeti)
✓• Taxpayer Identification Number certificate (TIN) – Cheti cha mlipa kodi kutoka TRA.
✓• Business License / Registration Certificate – Leseni ya biashara.
...
Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf.
Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine.
Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho.
Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
MBAO..
Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya...
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Wakuu habarini
Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu muhimu navyotaka kujua
1. Bei ya chainsaw
2. Bei za miti
3. Bei za wachananji/fundi
4.Bei za mbao...
Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au biashara ya mkaa nijumue mkoa nilete Dar niuze taratibu.
Naomba ushauri wenu mtaji wangu ni 15m, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.