biashara ya mayai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kaisar19

    Wimbi la watoto chini ya 14 yrs kufanya biashara ya mayai Kigoma Mjini

    Nina imani sote humu tuko njema. Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini Hii nadhani ni tatizo kubwa linahitaji dawa, vijana hawa umri wao ni wa kuwa shuleni lakini muda wote wapo mitaani, stand za...
  2. Faana

    Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

  3. Paul dybala

    Biashara ya Mayai inalipa sana

    Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini. Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja. Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa...
Back
Top Bottom