Mimi ni ajira mpya mwezi wa 10 Halmashauri ya Mbogwe, nilikopa kupitia ESS mkopo wa Shilingi Milioni 10 kwa miaka 8 kufanyia biashara ya madini bahati mbaya nimefeli.
Kinachoniumiza kwa sasa ninapokea mshahara kidogo baada ya makato nawaza hiyo miaka 8 nitaishi vipi?
Ninatembea naongea peke...
::
MKuu huyo wa Mkoa wa Tabora mbele ya Waandishi wa habari amesema Rais Samia ameongeza Mapato ya Madini Tabora kutoka TZS 40bn hadi TZS 133bn ndani ya miaka minne(4).
Katika kipindi cha 2021 hadi 2025, Serikali chini ya Rais Samia imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora kwa kuongeza...
Serikali imeongeza vituo vya ununuzi wa madini kutoka 102 mwaka 2023/2024 hadi kufikia 109 mwaka 2024/2025.
Kupitia masoko 43 na vituo vya ununuzi 109 kulifanyika biashara ya madini yenye thamani ya shilingi 1.93 trilioni kwa mwaka 2023/2024 na shilingi 2.82 trilioni kwa mwaka 2024/2025...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameielekeza Tume ya Madini kupitia upya mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, ili kuja na pendekezo bora zaidi la namna ya usimamizi na uendeshaji wa biashara ya madini ya Tanzanite kwa lengo la kuongeza thamani ya...
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu...
Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.
Sasa challenge nilokuwa nayo ni...
“NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE”
Apiga marufuku wageni kwenda kununua madini machimboni
Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la madini
Asema wafanyabiashara wa madini Tunduru ni mfano wa kuigwa kwa kujenga Soko la madini kwa...
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.
Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia Mafuta,Dhahabu Hadi chumvi Kwa Wingi zaidi.
Hata kwenye Dhahabu ambako tuandhani tuna utajiri ,hakuna...
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari hiki hapo chini ndio hicho kifaa nimejaribu kukidownlos
KWA HAPA TANZANIA
Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA.
Kinauzwa tsh 20,000/= kinapatikana dar es salaam katika bookshop ya TPH POSTA na kama upo mkoani wapigie tu...
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.
Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara.
Natanguliza shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.