biashara ya bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Nini kimemkuta dada huyu

    Je, hakulipa nauli ya boda? Hata kama hakulipa mbona yeye ndo mkali kumpiga jiwe boda shida nini? Mpaka wameanza gombana
  2. Samia atosha tukutane2030

    Kama una pesa za majini au za ufisadi zitupe kwenye biashara ya bodaboda na Bajaji

    Hii biashara soko lake limejaa vijana walioharibikiwa akili na ufahamu. Bajaji moja sasa si chini ya millioni 10 za Kitanzania. Pikipiki moja sasa si chini ya millioni 3 za Kitanzania. Utupe hiyo pesa eti kisa tu pesa utakuwa unaletewa nyumbani. Unawajua bodaboda wewe 😂😂😂 Itazame hii picha...
  3. D

    Biashara ya Bodaboda: Pikipiki ipi ni nzuri kwa biashara

    samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;- 1. Sanlg 2. Tvs 3. Boxer Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
  4. J

    PreGE2025 UVCCM: Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa Taifa la Tanzania Ndio maana Serikali ya Awamu ya 6 ya Dr Samia Inawapenda

    Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM --- Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amesema Maafisa usafirishaji (Madereva bodaboda) ni injini muhimu...
  5. Kaka yake shetani

    Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa

    Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM. “Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa, madereva". Je, kama vyombo vya polisi na idara zenu...
  6. amudamud

    Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Wakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
  7. Gulio Tanzania

    Bodaboda zimekuwa nyingi, vifo vinavyotokana na ajali vimekuwa ni vingi mno

    Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno. Nashauri Serikali...
Back
Top Bottom