Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani
Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati!
Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣
Baada ya CCM na...
Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa.
Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana.
Yule jamaa...
Yaani Kuna watu bwana
Hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha
Hii ni akili gani?
Yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe?
Kwanini usichukue hiyo hela ukaenda...
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
Hii biashara ya usafirishaji wa ndege ni ngumu sana ndio usishangae taifa kubwa kama USA kupitia serikali yake kutojiusisha na biashara hii.
Pesa tulizopoteza kununua madege kwa nchi changa kama hii zingeweza kuboresha viwanja vya ndege kwenye mikoa iliyo na kuitaji huduma na kuita wawekazaji...