Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store.
Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock...