biashara

  1. SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  2. M

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  3. Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri. Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
  4. Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata Serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili. Biashara nyingi bado nazoziona hasa...
  5. R

    Kwanini biashara nyingi hazifikii malengo(hufa mapema)

    Watu wengi wanapo anzisha biashara huwa kuna baadhi ya mambo wanazingatia mfano; -wateja -Gharama za uendeshaji -jinsi ya kukuza thamani ya bidhaa katika biashara n.k # Lakini husahau kitu cha msingi Sana katika biashara ambacho ni namna ya kusimamia mzunguko au ktiririko wa fedha katika...
  6. B

    SoC02 Kilimo biashara anzia Sokoni

    KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI. Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
  7. M

    SoC02 Ushirikishwaji, fursa za kilimo ni biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote yanategemea namna anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini. Wakati maarifa yanaambatana na teknolojia iliyopo, Imani ni maono ya fikra za dini, falsafa ama itikadi. Kwa kuwa binadamu haishi pekee, bali ndani ya makundi yenye mamlaka na dhamana ya...
  8. C

    SoC02 Nilichagua kusoma, akachagua biashara, nikaenda kumkopa pesa akanishauri nifanye biashara, leo nimemuajiri ananiomba nimsaidie akasome!

    Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii. Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae Mido tulikuwa ni watoto wa mfano sana kijijini kwetu tulipokulia, wazazi wangu na wazazi wa Mido...
  9. M

    SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  10. Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

    Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
  11. M

    Dr. Mengi aliwahi kusema, 'ili uendeshe biashara hapa Tanzania lazima uwe kichwa ngumu'

    Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika kipindi hiki, Tanzania ililenga zaidi katika kujenga umoja, mshikamano na heshima kitaifa. Nchi...
  12. SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  13. SoC02 Siri ya Kunasa Wateja kwenye Biashara yako yafichuka

    UTANGULIZI Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au huduma yake na wana uwezo wakununua. MAANA YA KUUZA Kuuza ni kitendo cha kubadilishana hisia kati ya...
  14. Nini kinakuzuia usianzishe biashara?

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na maisha yako ukiendelea kuzifikia ndoto zako.Katika safari yangu ya ujasiriamali na biashara ambayo ina umri wa zaidi ya miaka 20 ni mefanya aina nyingi sana za biashara. Nimefanya biashara ya maduka ya nguo,maduka ya chakula...
  15. Msaada ya kutengeneza jina la biashara

    Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks. Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba...
  16. E

    Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia! Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana...
  17. B

    Biashara ya Vinywaji vikali

    Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub. Nina mtaji wa 20m
  18. Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  19. Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  20. Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…