benson bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    PostGE2025 Salamu za Bagonza kwa Mwigulu: Taifa haliwezi kuongozwa kiujanja ujanja

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema kwa sasa yanahitajika maridhiano ya kweli ili kulirudisha taifa katika amani na umoja wa kweli, huku akionya kwamba "taifa haliwezi kuongozwa kwa ujanjaujanja". ‎Bagonza ameeleza...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kama vijana wanashawishiwa basi na nyie viongozi washawishini tu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Kumekuwa na memo maarufu kuwa vijana "wameshawishiwa" na watu waishio nje ya nchi. Yani watawala wanakiri kwamba vijana hawajalazimishwa, kuburuzwa, kutishwa wala kuhongwa. Bali wameshawishiwa kwa hoja. Nami...
  3. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Wamekuja Gen Z Wametikisa misingi, Risasi haiwapunguzi, inawaongeza Mabomu ni mbolea yao Wanahitaji kusikilizwa siyo kuhutubiwa

    Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI 1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini akamtunishia msuli kiongozi na akabaki salama. Maskini wakafa na tai shingoni lakini hawatekwi. 2...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Mazingira ya sasa hayaruhusu maridhiano ya kweli bila uwajibikaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema mazingira ya sasa nchini hayaruhusu mazungumzo ya maridhiano kufanyika moja kwa moja kwa sababu bado hakuna uaminifu wa kutosha, mfumo wa kuaminika, wala dhamira ya wazi ya kukiri makosa...
  5. W

    GE2025 Askofu Bagonza: Kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu, hakileti ustawi

    Askofu Bagonza ameeleza kuwa waamini wanapaswa kuomba ili taifa lipate viongozi wen hekima kuliko wenye kiburi cha madaraka "Tuombee hekima kuliko kiburi cha madaraka ambacho kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu hakileti ustawi wa wati wake" - Askofu Bagonza
  6. Waufukweni

    GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  7. Waufukweni

    GE2025 Askofu Dkt. Bagonza: Tusipochukua hatua, tunaelekea kubaya

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza ametoa wito kwa Watanzania hususani wanasiasa kutafakari mustakabali wa Taifa ulivyo, akidai kuwa endapo mambo yatabaki kama ilivyo sasa huenda 'kama Taifa' tukaelekea kubaya zaidi kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hapa nchini Akihojiwa na...
  8. Waufukweni

    GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi umekwisha, tuonane mezani

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana. Akizungumza...
  9. The Burning Spear

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) UCHURO WA TAIFA: Tuzinduke. Nianze kwa kutoa salaam zangu za pole kwa familia ya hayati Job Ndugai. Pole kwa Ofisi nzima ya Bunge (Kupitia Katibu wa Bunge). Pole kwa Mh. Rais. Pole zaidi kwa taifa letu kutokana na msiba huu. Kuna kitu kisicho cha kawaida...
  10. R

    GE2025 Askofu Bagonza: Usawa wa kisiasa ni DENI linalomkabili Rais Samia, ana uwezo wa kulilipa na kubakiza chenji

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) CCM HONGERA SANA: Mmekula Ng’ombe mzima, Msishindwe kula mkia. Kwa moyo wa dhati nawapongeza CCM kwa kuitisha na kuendesha Mkutano Mkuu Maalum kwa mtandao. Nawapongeza zaidi kwa kufanya mabadiliko madogo (kwangu ni makubwa) ya katiba ili kuwapa viongozi...
  11. M

    Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
  12. Inside10

    Askofu Dr Bagonza: Mwongozo wa Kuhama Chama

    MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama: 1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
  13. R

    Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
  14. Superbug

    Haipendezi serikali kuiba kura

    Inashusha heshima ya serikali kuiba kura au kufumbia wizi wa kura serikali ni chombo kitakatifu hakipaswi kufanya hayo.
  15. W

    PreGE2025 Askofu Bagonza ataka walimu wasio na ajira (NETO) wasikilizwe na siyo kukamatwa na kutishwa

    Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha Serikali juu ya hatma yao ya haki ya kupata ajira ambayo wameisubiri kwa muda mrefu tangu walipo...
  16. Joan lewis

    Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  17. L

    PreGE2025 Askofu Dkt. Benson Bagonza aimiminia sifa na pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa...
  18. U

    Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

    Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu" Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
  19. Q

    Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  20. Olaigwanani lang

    Fasihi ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kuhusu Miafaka vs Muafaka

    INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja. 1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
Back
Top Bottom