In domestic and international commercial law, a beneficial owner is a natural person (or persons) who ultimately owns or controls an interest in a legal entity or arrangement, such as a company, trust, or foundation. Legal owners (i.e. owners of record), commonly described as registered owners, may hold those interests as beneficial owners or for the benefit of someone else, in which case they may be described as nominees.
Beneficial owners hold specific property rights (use and title) in equity that belong to them, even though legal title to the property belongs to another person. A beneficial owner is subject to a state's statutory laws regulating interest or title transfers. This situation commonly occurs when the person who holds the legal title to a property or asset is considered to have inherent responsibilities, similar to those of a trustee, toward the individual who benefits from the property. A common example of a beneficial owner is the true owner of funds held by a nominee bank.
Habari Mjasiriamali,
Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership"
Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni.
Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
Habari za wakti huu ndugu zangu wa BRELA
Kwanza kabisa niwaulize hivi Call centre yenu iko Busy sana au wafanyakazi wachache au vyote kwa pamoja maana kasi yenu ya kupokea simu na kushughulikia masuala yanayoletwa kwenu haundani na zama hizi.
Litazameni hilo maana haiwezekani nipige simu Call...
Habari mjasiriamali,
Jana nilipost kuhusu beneficial ownership, nikasema kila mmiliki wa Kampuni ni lazima awasilishe taarifa za wanufaika wa Kampuni (Beneficial owners) ndani ya siku 30 baada ya kukamilisha usajili wa Kampuni.
Moja ya swali nililoulizwa ni
"Kwani nisipo file hio beneficial...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.