bei ya nyanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilike, Biashara usiposhirikisha watoto au mke mara nyingi hufa au huuzwa kwa bei ya karanga ukitoweka na mwanzo wa family kuteseka

    Watanzania tubadilike! Biashara usiposhirikisha watoto au mke mara nyingi huweza kudhoofika, kufa au kuuzwa kwa bei ya chini sana ukitoweka. Familia nyingi sana za wafanyabiashara zimedidimia kiuchumi na kuteseka kwa kukosa mwelekeo na umiliki thabiti wa mali. Tujenge utamaduni wa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Nyanya Yapanda Kirinyaga Baada ya Mvua Kubwa Kusababisha Uhaba

    Wasee wa Kirinyaga County sai wako pressure juu bei ya nyanya imepanda mbaya sana after mvua kunyesha nonstop na kuharibu mashamba. Kwa mujibu wa ripoti, mvua hizo zimeharibu mazao na kushusha mavuno vibaya. Result? Nyanya ziko chache kwa market, na bei imeenda juu hadi imeanza kuwa luxury kwa...
  3. Pule

    JamiiForums Tanzania Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

    Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1. Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
Back
Top Bottom