Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP...
Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget yangu nilipata...
Ilikuwa ni aina ya LogiQ kwa kuwa sikuwa na uelewa mzuri kuhusu LAPTOP...