bbt

BBTS Bielsko-Biała SA is a professional men's volleyball club based in Bielsko-Biała in southern Poland, founded in 1999.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

    Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
  2. tonicimmobility

    Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  3. Wakusoma 12

    Bashe tuambie, BBT iliishia wapi?

    Huyu mtu hapaswi kuachwa hivihivi tu lazima ashurutishwe na hatua zichukuliwe kwa haraka sana. BBT ilikuwa ni moja ya miradi ya kuhujumu uchumi na hapa tunataka majibu haraka kutoka kwa mamlaka zake.
  4. Now and then

    Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  5. DR HAYA LAND

    Mradi wa Kilimo BBT umeishia wapi?

    Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi BBT
  6. Mganguzi

    Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  7. Knock life

    Mimi kama muhitimu wa degree badala ya kwenda VETA nitajiunga na mradi wa BBT je huu mradi wa BBT umefikia wapi ?

    Mimi nahitaji kujiunga na BBT mradi wa kilimo ningependa kujua umefikia wapi. Maana VETA sitoweza Naomba ufafanuzi Ahsante.
  8. Pascal Mayalla

    Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  9. M

    SoC04 Ubora wa usajiri wa vijana kwenye mradi wa kilimo wa Build Better Tomorrow (BBT) ili kuleta tija kwa vijana na taifa kiujumla

    Mradi wa build better tomorrow (BBT) Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023 Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza tatizo la ajira nchini Yafuatayo yafanyike ili kuboresha mradi huu uwe endelevu na wenye tija Kwa...
  10. Kipenzi Changu

    Kwa huu ufisadi wa kutisha wa sukari na kushindwa kwa BBT Bashe bado yupo wizarani?

    https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7 Nisiwachoshe..... Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi. Kabla ya upigaji wa sukari...
  11. ngatungas

    SoC04 Mradi wa BBT kwa Vijana ufanyike kila wilaya na uunganishwe na VETA Pamoja na 10% ya Halmashauri iliyoboreshwa

    Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini. Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia. Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti zilizoboreshwa zinazolenga kutatua changamoto hii. BBT KWA KILA WILAYA ~• mradi huu wa Building Better...
Back
Top Bottom