bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa BAWACHA , Wanawake katika maamuzi ya Kitaifa

    17 October 2020 Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi Hapa Tanzania...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

    Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili. BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera BAWACHA kwa kuhamasisha wanawake wengi kugombea majimboni, UWT wajifunze kwenu

    Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni. Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa kugombea kwenye majimbo huku CCM ikiweka wanawake 12 tu majority wanangojea viti maalumu, Hongera Ummy...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

    Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35. Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

    Watanzania wenzetu wasalaam, Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA 1. Oscar Kaijage Kaindoa 2. Bi Anna Dulle
  7. JamiiForums Tanzania BAVICHA: Ajira rasmi zimepungua kwa 78.1% katika kipindi cha Awamu ya Tano

  8. JamiiForums Tanzania Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

    VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…