bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bavicha ndio Taasisi Pekee ya Vijana Tanzania inayojiandaa na Siku ya Vijana Duniani

    Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa. Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa inajiandaa na Siku ya Vijana Duniani ambayo itaadhimishwa 12/8/2022 , lakini hakuna Juhudi zozote za...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

    Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA. Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  5. JamiiForums Tanzania BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

    Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya. Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
  6. JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

    Mwanasiasiasa nguli na muhimu sana ndani ya Bavicha, Hilda Newton anaomba ajibiwe swali lake, hakika CHADEMA ina watu smart sana
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji. Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita. Bavicha...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  11. JamiiForums Tanzania Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

    Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo . Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
  12. JamiiForums Tanzania Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  13. JamiiForums Tanzania BAVICHA na CHADEMA kazi mnayo

    Katika moja ya mistake kubwa ilifanyika ni kuanza harakati za Katiba Mpya wakati wanachama wameparaganyika. Enzi za Mwendazake ilikua kufanya siasa ni dhambi kiasi ambacho wengi ya wapinzani waliamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yao ya kila siku kwa usalama wao na familia zao. Walioendelea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA CLUBHOUSE, leo mmepata somo

    Leo nimetumia tena muda mrefu katika clubhouse ya Bavicha na mada mbili zilikuwa mezani,kesi ya Mbowe na mkutano wa Dodoma. Mengi yamejadiliwa lakini niweke haya ambayo naamini ni funzo kubwa, Kuna mchangaji kwa jina la BM ambaye alihoji mawakili wa Chadema kumuita shahidi aliyeugua kichaa.Kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  16. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM noma | BAVICHA Chukueni hii

    === Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA nendeni na wamachinga na bodaboda mtanikumbuka baadaye

    Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki. Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
  19. JamiiForums Tanzania BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

    Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai- CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

    Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…