bassirou diomaye faye

Bassirou Diomaye Diakhar Faye (born 25 March 1980), commonly known mononymously as Diomaye, is a Senegalese politician and former tax inspector who has been serving as the 5th and current President of Senegal since 2024. He is the general secretary of the banned party PASTEF, who won the 2024 Senegalese presidential election in place of disqualified candidate Ousmane Sonko, whom he later appointed as Prime Minister of Senegal.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Senegal: Watengeneza maudhui watatu wa TikTok wahukumiwa jela kwa kumtukana Rais Faye

    Mahakama nchini Senegal imewahukumu watengeneza maudhui watatu wa mtandao wa TikTok kifungo cha jela pamoja na kulipa faini kwa kosa la kumtukana Rais, kwa mujibu wa wakili wao. Hatua iliyokoseolewa na baadhi ya watu wanaodai kuwa ni shambulio dhidi ya uhuru wa kujieleza nchini humo. Watu hao...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Faye azindua rasmi chama chake kipya, Wanachama wa Sonko sasa wanakimbilia kwa Faye

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua rasmi chama chake kipya cha kisiasa kinachoitwa Republican Patriots, hatua inayodhihirisha rasmi kuvunjika kwa uhusiano wake na mshirika wake wa siku nyingi na Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko. Viongozi hao wawili waliingia madarakani kwa...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Bassirou Diomaye Faye atangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, akijitenga na Pastef

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika wake wa muda mrefu, Ousmane Sonko. Akizungumza Ijumaa katika mkutano na mameya kutoka maeneo...
  4. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania SENEGAL: Mtifuano wa kisiasa waendelea kati ya Sonko na Diomaye

    Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha mabadiliko ya katiba yanayopunguza madaraka ya rais na kuongeza nguvu za bunge. Marekebisho haya yaliyopendekezwa na chama tawala cha PASTEF, yamepitishwa huku kukiwa na mivutano mikubwa, kususia kwa wapinzani, na maandamano nje ya bunge.Kufuatia kura...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal, Bassirou Faye: Ufaransa ifunge kambi zake za kijeshi nchini Senegal. Hii ni nchi huru; hatukubaliani na uwepo wa kambi hizo

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema kuwa Ufaransa inapaswa kufunga kambi zake za kijeshi nchini humo, wakati taifa hilo linajiandaa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa wakati wa ukoloni. Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amekiri kuwa vikosi vya...
  6. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Senegal yaitaka Ulaya kusaidia kukabili ugaidi Sahel

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ameitaka Ulaya kusaidia kukabiliana na tishio la usalama linaloongezeka huko Sahel, eneo tete ambalo limekabiliwa na mfululizo wa mashambulizi mabaya katika siku chache zilizopita. Ametoa wito huo wakati wa mkutano na waandishi wa habari akiwa na Waziri...
  7. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa Senegal amekataa picha yake kuwekwa ofisini

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao kuweka picha za watoto wao maofisini mwao ili wawe wanazitazama pale wanapofanya maamuzi.
Back
Top Bottom