bashite

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Gereza hili linamfaa Bashite!

    Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

    ✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.. ✓Ndugu Makonda ukiwa RC - DSM, unatuhumiwa kuongoza kundi la UGAIDI WA KIDOLA (State Sponsored...
  4. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ameghushi tena?!

    Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli iliwahi kuibuliwa kashfa ya kughushi vyeti vya elimu ya sekondari kwa Paul Makonda. Paul akiwa mkuu wa mkoa wa mkoa nyeti sana alipata kashfa hii pasipo mamlaka ya uteuzi wala elimu kumshughulikia. Lakini tena limeibuka sakata la umiliki wa kiwanja kati yake...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Paulo Makonda huyoo ndani ya pipa

    Hamnipati ng'ooo.....labda mnitumie Interpol
  6. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Makonda alikupora mali zako, unasubiri nini kwenda Mahakamani?

    Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji. Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…