Bashiru Ally Kakurwa Tanzanian politician, diplomat and Member of Parliament. He was the Chief Secretary of Tanzania in the 5th Cabinet, appointed by President Magufuli into office February 26, 2021. Before he had been Secretary General of Chama Cha Mapinduzi political party in Tanzania, appointed by Magufuli into office on May 31, 2018. Prior to his appointment as party Secretary General, he was a lecturer at the University of Dar es Salaam.
During the first cabinet reshuffle under President Samia Suluhu Hassan he was dropped from his cabinet post and instead given one of the slots for appointed members of parliament on March 31, 2021.
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
Bashiru Ally, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa amani, haki na uhuru ni nguzo muhimu ambazo haziwezi kupuuzwa.
Ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji Chief Odemba katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV.
Amesisitiza kuwa...
“CCM ni chama cha kitaifa, chama ambacho kimeenea nchi nzima- Zanzibar na Tanzania bara, hakina sababu ya kuwa na ushirikiano wa vyama kama ‘vyama project’. Hivi ni vyama kamili, vyenye usajili kamili, vyenye nguvu zinazopishana na vilivyoshindana kulingana na uwezo wake na kwa hiyo vina haki ya...
Mbunge wa Bunge la Tanzania na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema ushindi mkubwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliopatikana katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 umetokana na mchanganyiko wa sababu kadhaa zinazohusu siasa za ndani, uimara wa...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashirubashirually
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashirually
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
rais
rais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ali amemtaja Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mwenye ubunifu, uchapakazi na umahiri katika mipango ya kuwatumikia Watanzania.
Dkt. Bashiru amebainisha hayo leo Jumanne Oktoba 28...
Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake
Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic kuwatukana alivyozoea hii ni WITO kwao waache kujipendekezaogeni maji mlale CCM ya sasa ni ya Bashiru wa...
Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu>
Ni matambiko hayo. Wote walio kuwa kwenye uongozi wa Magufuli na walihusika kunyanyasa watu kwa njia yeyote wataondoka.
Sasa wanaofuatilia ni Polepole, Bashiru, Makonda na Mama Samia wote wataondoka miaka michache ijayo kwa mazingira...
Mratibu wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mikoa ya Kanda ya Kati, Dk Bashiru Ally, amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
Akizungumza Septemba 21, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Parking, Nzega Mjini, kwa...
Mimi niliku scout kama mtu elite na Marxist. Uliteuliwa kufanya tathmini ya Mali za chama na baadae Rais Magufuli alivutiwa na wewe akakuteua kuwa katibu mkuu wa chama na hatimae katibu mkuu kiongozi.
Baada ya kifo chake uliondolewa kwenye nafasi ile kwasababu ambazo hata wewe unazijua vizuri...
Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu.
Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form
Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui .
Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science.
Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
Sura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm...
Jana nilikua napitia hafla ya kukabidhi ripoti ya ukaguzi wa mali za chama kinachotawala kutoka kwa katibu mkuu wa chama hicho kwa wakati huo kwenda kwa mwenyekiti wake.
Nimekumbuka mbali na mengi sana. Hivi ndugu yetu mwalimu Bashiru Kakurwa yuko wapi? Amerudi darasani kupiga pindi au ndio...
Hivi kati ya Bashiru Ally Katibu mkuu wa Ccm Mstaafu na Rais Magufuli nani anabidi kubeba lawama za kuua Demokrasia na leo tunaishi kwa mashaka.
Ni nani kati ya Magufuli au Bashiru aliyeleta mfumo wa kupita bila kupingwa?
Asante
Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa.
Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais.
PIA SOMA
- CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake
Zab23
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa.
Yeremia 17:5
Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.