Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy
Mtanzania Mzalendo.
Utangulizi.
Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025.
Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, OFM Cap ametoa habari njema kwa Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na wote wenye mapenzi mema kuwa afya ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padri Charles Kitima imeimarika na sasa ameanza...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile.
"Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki.
Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza...
Baraza la maaskofu Wakatoliki Kenya kwa kauli moja wamemkemea vikali sana Ruto kwa kile wanachosema ni Utamaduni wa kusema uongo, kunyamazisha wakosoaji, utekaji, kodi zilizopitiliza na ukiukwaji haki nchini humo.
===
A Catholic bishops’ lobby has accused the government of President William...
MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa.
Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM.
Nataka kuchukua mfano
Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
1. Hivi sasa kuna bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu kila mtanzania anapata mkopo ili aweze kusoma.
2. Vyuo vikuu kama UDOM, SUA na vyengine vimeengeza vituvo, curriculum imebadilika, Teknolojia imepanuka.
3. Serekali imeanzisha zahanati, hospital na Maabara kila sehemu nchini kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.