Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana
Kujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini cha ubora ni kuingiza hasara kwasababu italazimu kurudia kwa mara nyingine kwasababu ya kushindwa...
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuendelea kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa miundombinu ya barabara za lami, zege na changarawe ili kusisimua uchumi wa mkoa huo na kukuza biashara ya kimataifa kati ya Kanda ya...
UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa kiwango cha lami tangu mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa awe mbunge wetu .
Barabara hii ni mfano...
Barabara ya Kitete Hospital, kupitia bank ya damu hadi Game reserve imeota majani mengi kwa muda mrefu na haijawahi safishwa.
Hali hiyo inapelekea watembea wa miguu kuwa hatarini maana wanatembea katikati ya barabara maana barabara imekua ndogo, majani yameota upande wa kushoto na kulia...
Kwenye majiji angalau unaweza kuona barabara za lami au zege zinajengwa mitaani ila ni nadra sana kukuta barabara za vijijini zina lami, labda kwa mikoa michache kama Kilimanjaro.
Kuna sera inayoelekeza barabara za lami zijengwe kwenye mitaa ya majiji na sio vijijini??
Hii hapa ni barabara ya...
Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini.
Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa.
Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya:
1. Barabara za lami
2. Reli ya mpya (SGR)
3. Mipango miji
4. Viwanda
Kusema ataleta...
Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo.
Ujenzi wa miradi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Mei 2025 kama sehemu ya kuboresha miundombinu na huduma kwa wananchi.
Pia...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024.
Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26.
Pakua Samia App kupitia...
awamu
awamu ya sita
barabarabarabarazalami
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kutoka
lami
mikoa
mtandao
mtandao wa barabara
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
urefu
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.