barabara mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    KERO Sinza Afrikasana, mvua ikinyesha ni mvurugano! Hapapitiki panajaa maji

    Video hii imerekodiwa katika eneo la Sinza Afrikasana Jijini Dar es salaam ikionesha usumbufu wanaoupata wapita njia pamoja na magari na kuathiri shughuli za kila siku baada ya maji kujaa katika eneo hilo kutokana na mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa eneo hilo wanasema hali hii imekuwa ikijirudia...
  2. Mhaya

    Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  3. Toga

    KERO Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndigo hii barabara ya Igawa - Rujewa hauioni ilivyo mbovu?

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya...
  4. Waufukweni

    Adam Mchomvu: Mimi kodi yangu asipewe mchezaji, Barabara mbovu, wagonjwa hawana dawa

    Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.
  5. R

    GE2025 Moshi: Tulimchagua mbunge akaja kutuonesha kitambi, barabara ni mbovu, hakuna Umeme, nani apige tena kura?

    Kumbukizi, Wabibi wa kichaga uko moshi vijijini wanasema walimchagua mbunge akarudi kuwaonesha kitambi hakuna kitu amewasaidia Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Chanzo: habari24media
  6. McLaren

    Video: Mbunge Justin Nyamoga anapaswa ujiuzulu mara moja! Hii video ya wananchi wa Iringa wakibeba mgonjwa kwenye matope imenisikitisha sana!

    Wakuu, Hivi CCM wanaposema wanaleta maendeleo huwa wanamaanisha maendeleo gani? Hapa reportedly ni Kilolo huko mkoani Iringa, hawa ni wananchi wa eneo la Kiwalamo, Kilolo huko Iringa wakiwa wamembeba mgonjwa kwenda Kidabaga kwa miguu umbali wa kilomita 40 ili akatibiwe, kutokana na...
  7. L

    Kisarawe, iliyoko mkoa wa Pwani Tanzania, inakabiliwa na changamoto za barabara mbovu toka miaka ya 60

    Wananchi wanalia kila siku, mfano maguruwe barabara mbovu kama mazingira ya mwezi, lakini DC na TARURA wamejikita kwenye viti vyao vya starehe, wakisikiliza kilio cha wana nchi kama wimbo wa kawaida! Hii ni dhuluma ya wazi – pesa za walipa kodi zinapotea kwenye miradi ya karatasi, wakati...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo

    Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana na ubovu wa barabara hali iliyopelekea kutembea kwa mguu ili kwenda kukagua miradi hiyo iliyopo...
  9. Just Pray

    Moshi: Wananchi wamechoka wajitolea kujenga barabara

    Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5 inayounganisha vijiji hivyo. Wakizungumza na TBC, wakazi wa vijiji hivyo wamesema awali barabara hiyo...
  10. B

    KERO Tabata Chang’ombe barabara mbovu mno

    Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika wapimaji watu wa kuchora kuta za watu lakini baada ya hapo hakuna kitu, kabisa mvua ikinyesha inakuwa...
  11. Mindyou

    Waziri Mwigulu Nchemba aeleza jinsi mgao wa umeme na barabara mbovu zilivyoipitisha serikali katika kipindi kigumu

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na mgao wa umeme. Akizungumza bungeni Dodoma, Dk Mwigulu amesema Serikali ililazimika kuchagua kati...
  12. A

    KERO Mbunge Mavunde, tusaidie wakazi wa mtaa wa Chinyoyo, kata ya Kilimani - Dodoma! Tunateseka sana barabara mbovu sana

    Tafadhali ndugu Mavunde tusaidie sisi wakazi wa mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani tunateseka sana na ubovu wa barabara. Kata ya kilimani ina mitaa mitatu, Uzunguni, Chinyoyo na Image! Cha kushangaza mtaa wa uzunguni(kwa vibopa) kumwtandazwa lami tupu hadi taa za barabarani zimewekwa! Mtaa wa...
  13. Vincenzo Jr

    KERO Arusha ni mkoa ambao una barabara mbovu sana

    Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi. Mgawanyiko wa...
  14. The Sheriff

    KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
  15. Cute Wife

    Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  16. Kangosha

    KERO TANROAD Lindi tunaomba mrekebishe mashimo makubwa yaliyopo kwenye barabara kuu

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama uharibifu wa gari. Baadhi ya mashimo yapo maeneo ya hatari sana. Unakuta kuna mteremko na lami...
  17. P

    KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  18. P

    KERO Responded Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz. Sehemu...
  19. Lord Denning

    Inakuwaje Dar es Salaam inaoongoza kuingiza mapato ya Nchi unakuwa na barabara mbovu hivi?

    Kati ya Mambo ambayo yatakuja kukiondoa Chama cha Mapinduzi madarakani ni namna ambavyo hawagawi kwa usawa keki ya taifa. Siku Watanzania wakipata akili na kusema kwa nini hapa kwetu tunachangia hiki na hatupati hiki ndio utakuwa mwisho rasmi wa siasa za kutawala Tanzania kwa Chama cha...
  20. ndege JOHN

    Tutaje wilaya zenye barabara mbovu za vijijini

    Kuna council hawajui tu kutengeneza barabara wao hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya za tanroad unakuta wanasubiri MWENGE upite ndo iburuzwe. kwangu mimi aisee nikiwa kama mkazi wa kusini halmshauri ya nachingwea na tunduru wanazingua sana Tena wilaya kongwe na zenye kila kitu mazao...
Back
Top Bottom