bandari ya tanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  2. Bibianna

    GE2025 RC Bolozi Batilda Burian: Kutoa mizigo Bandari ya Tanga ni siku 2 tu ila huzuiliwi kuendelea kupumzika Tanga

    https://youtube.com/shorts/gQOZqg8blW0?si=-lRtUNLB63qZPj_X Katika taarifa yake kwa wanahabari mkuu huyu wa mkoa wa Tanga amesema kuwa Kukamilika kwa maboresho ya Bandari ya Tanga kumeleta mageuzi makubwa katika ufanisi wa utoaji huduma bandarini, jambo lililoinua ushindani wa bandari hiyo...
  3. Bibianna

    GE2025 Balozi Dkt. Batilda Salha Burian: Tanga tunakarabati bandari kwa TZS. Bil 429.1 ikiwa ni sababu ya wananchi wa Tanga kumtaka tena Rais Samia Oct 29

    Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga

    Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani, katika Mkoa wa Tanga. Akiongea kabla...
  5. Pfizer

    Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  7. Ojuolegbha

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga. Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia...
  8. Wakusoma 12

    Bandari ya Tanga yaingiza mapato ya Tsh bilioni 100, Katika kipindi Cha miezi 5.

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
  9. Pfizer

    Bandari ya Tanga sasa inashughulikia meli kubwa baada ya uwekezaji wa Tsh 429.1 Bilioni

    Tanga. Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii...
  10. Blasio Kachuchu

    Kamishina TRA, Mkurugenzi Bandari watembelea Bandari ya Tanga

    KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26, 2024 wametembelea bandari ya Tanga. Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli...
  11. Lord Denning

    Vita ya Kiuchumi: Ningekuwa Rais wa Tanzania ningeanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutokea Bandari ya Tanga hadi Kagera, Rwanda na Uganda

    Amani iwe nanyi wanabodi! Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR. Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo. Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
Back
Top Bottom