bandari kavu ya kwala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kinachofanya bandari kavu ya Kwala isitumike ni nini? Tunaomba maelezo

    Tunamsihi Rais au Waziri Mkuu atuambie hatima ya Kwala Dry Port ni ipi. Juzi tu kulikuwa na mjadala kuhusu mabasi kutokuingia mjini kwa lengo la kupunguza msongamano katikati ya jiji. Cha ajabu, sasa tunasikia taarifa kwamba Kata 10 za Wilaya ya Temeke zimetengwa kwa ajili ya shughuli za...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bilioni 3.3 kufikisha maji bandari kavu ya Kwala

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha maboresho ya uhuishaji wa kisima cha maji cha Kwala kilichopo kijiji cha Minazi mikinda, kwa lengo la kuwezesha uzalishaji wa maji ili kutoa huduma ya majisafi katika bandari kavu ya Kwala, iliyopo Kata ya Kwala...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Kwanini Bandari Kavu ya Kwala haitumiki au kuna michezo ya rushwa inayoendelea nyuma ya Pazia?

    Akichangia hoja Bungeni Aprili 9, 2026, Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, ametoa wito kwa Serikali kuitaka ianze kuitumia kikamilifu Bandari Kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani ili kupunguza msongamano wa magari makubwa katika Jiji la Dar es Salaam. Ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Bandari Kavu ya Kwala Julai 31,2025

    Wakuu tufuatilie hii ni Mubashara Leo Rais Samia atashiriki kuzindua Bandari Kavu ya Kwala, mradi unaotarajiwa kuboresha usafirishaji na kupunguza changamoto ya Foleni hususani Kwa magari makubwa (Malori) Soma pia: Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa...
Back
Top Bottom