Serikali imetenga Trilioni 1 kwa ajili ya safari za ndani na nje kwa mwaka wa fedha 2026/27. Bilioni 833 kutumika katika safari za ndani ya nchi na Bilioni 149 kutumika katika safari za nje.
Ni katika bajeti ambayo imewasilishwa Juni 11, 2026.
Trilioni moja zatengwa kwa ajili ya safari za nje...
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti za mwaka wa fedha 2026/2027 zikiwa na vipaumbele tofauti kulingana na ukubwa wa uchumi na mahitaji yao ya maendeleo.
NchiBajeti ya 2026/27
TanzaniaTsh trilioni 62.3
KenyaKSh trilioni 4.7
UgandaUGX trilioni 84.3
RwandaRWF...
Akisoma Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 Bungeni, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema Katika Bajeti ya 2026/27, Serikali imefanya matumizi mahsusi kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali ikiwemo:
(i) Shilingi trilioni 2.86 kwa ujenzi wa barabara...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ameeleza kuwa hali ya deni la serikali hadi kufikia mwezi Machi 2026 imefikia shilingi trilioni 114.34.
Katika kiasi hicho cha deni, Mhe. Balozi Khamis amebainisha kuwa deni...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaomba yaomba Tsh Bilioni 222.5 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Mchanganuo
Tsh bilioni 13.1 kwa matumizi ya kawaida sawa na 5.9% ya bajeti iliyotengwa
Tsh bilioni 209.4 kwa ajili ya matumizi ya miradi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.