bajeti 2025/2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mkalamo

    Mabadiliko ya Bajeti ya 2025 inasamehe makampuni Makubwa na Mabenki zaidi ya shilingi Bilioni 200 kwa Mwaka

    Makampuni na Mabenki hawana sababu tena ya kukwepa kodi kwa kuwa wamerahisishiwa sana kupitia mfumo wa Retained Earnings’ ambao ni Suluhu ya kuzuia Uepaji Kodi wa Makampuni Makubwa nchini. Twende nayo hatua kwa hatua Juzi Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba,alisoma bajeti kuu ya Serikali kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP) *Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
  3. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwigulu Nchemba: Nina imani kuwa katika uchaguzi huu CCM haitapoteza JIMBO lolote wala KATA yoyote, tunaenda kushinda kwa kishindo kikubwa

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2025/2026 "Nisisitize tena, Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi imedhamiria kwa dhati kuhakikisha maendeleo...
  4. U

    Rais Samia akifuatilia kwa umakini Bajeti Kuu ya Serikali 2025/26 ikisomwa Bungeni Leo

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa...
  5. R

    Mwigulu Nchemba: Mwaka 1991 hadi 2018, Umasikini Umepungua, kiwango cha mahitaji ya msingi kikishuka kwa 13.6%

    Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini === "Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika kipindi hicho cha marejeo, asilimia ya watu waliokuwa wakiishi katika umasikini wa hali ya juu...
  6. DuaZaMama

    Pensheni kuongezwa kwa asilimia 150 wanaolipwa na hazina

    Bajeti ya Serikali mwaka 2025/2026 imetangaza neema ya kuongezwa kwa pensheni wanaolipwa na hazina kwa asilimia 150. Akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka husika leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hatua inatokana na Serikali ya Awamu ya Sita inatambua umuhimu na...
  7. W

    Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
  8. Kayabwe

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026

    Naomba sana Mama yetu sisi walimu utumumbuke kwa kuongeza mishahara mwaka huu!Kumbuka mwaka juzi ulitupanga tu!Kumbuka mwaka huu tunafanya masmuzi kwenye box
  9. ChoiceVariable

    PreGE2025 Serikali yapendekeza trilioni 57.04 kutumika mwaka 2025/26

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma. Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 57.04 kwa...
Back
Top Bottom