bagonza

William Bagonza (12 November 1960 – 9 December 2000) was a Ugandan boxer. He competed in the men's light flyweight event at the 1984 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  2. GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

    Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi: "Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
  3. GE2025 Askofu Bagonza: Wote tuko njiapanda, Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reforms?

    Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook === WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani? Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
  4. Askofu Bagonza amerudi tena. Sasa hivi anauliza "Mahakama imetupindua tuishtaki wapi?"

    Wakuu, Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana. Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo: MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi? Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
  5. Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  6. Askofu Bagonza: Kwenye siasa ambako hakuna ITHIBATI, wenye elimu wamehamishia magodoro bungeni; wasio na elimu ndio wanachangia kila hoja

    Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook. ==== FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu? Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja: 1. Wenye vyeti...
  7. M

    Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
  8. Kauli ya Jumapili na Baba Askofu Bagonza

    🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
  9. GE2025 Askofu Bagonza: Kiongozi siyo tu awavumilie wakosoaji na watukanaji, bali pia awazuie wanaompenda na kumtetea au kujibu hoja za wanaokosoa

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok ==== Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu. Kiongozi siyo tu...
  10. Askofu Bagonza: Wafalme na Watawala wabaya ili wafanye watakavyo, huanza kwa kuchafua hekalu

    Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
  11. PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  12. Askofu Bugonza: Kizazi cha Gen-Z ni ngumu kutawaliwa

    Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
  13. R

    Watawala wetu Tanzania, msikilize Askofu Bagonza na hekima kuu katika andiko lake hili

    Copy and Paste HILI LA ZAMBIA KAMA SI FUNZO, NI KENGELE. By Bishop Bagonza. Rais Mstaafu wa sita wa Zambia Edgar Lungu, amefariki tarehe 5/6/2025 akiwa matibabu huko Afrika ya Kusini. Atazikwa Afrika Kusini 25/6/2025 na misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Lusaka Alick Banda. Wakati huo huo...
  14. PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

    KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii? Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu. Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
  15. B

    Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

    Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika: KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi.. Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa. Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama...
  16. PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  17. PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  18. Askofu Dr Bagonza: Mwongozo wa Kuhama Chama

    MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama: 1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
  19. Z

    Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  20. R

    Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…