bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, miradi ya kimkakati bado inaendelea huko Chato?

    Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile miradi mingine kama uwanja wa kisasa wa michezo inaendelea?
  2. JamiiForums Tanzania Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

    Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana. Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi. Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji. Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
  3. JamiiForums Tanzania Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

    Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Bado Kuna mtu anapinga nguvu ya harmonize kwa Sasa kwenye tasnia ya muziki Tanzania?

    Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
  5. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…