babati vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya kutoka Babati Vijijini hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri. Hadi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hatujapata fedha za kujikimu walimu wapya Babati Vijijini

    Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya wamepewa.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAZECHA Babati Vijijini, Francis Luumi, aripotiwa kutoweka akiwa Safarini kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kuhusu kutoweka Francis Luumi ambae ni Mwenyekiti wa Bazecha Jimbo la Babati Vijijini na aliyekuwa Diwani wa kata ya Endakiso, Babati Vijijini. Tarehe 16/07/2025 baada ya kesi ya Mhe. Lissu kuhairishwa aliaga watu aliokuwa nao Mahakamani kwamba anaelekea Shekilango wa ajili ya kupanda Bus la...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sillo aja na majawabu ya kilio cha wakazi wa Bashnet, Babati vijijini

    Zaidi ya Sh 115 Milioni zitatumika kujenga Kituo cha kisasa cha Polisi katika Kijiji cha Bashnet Wilayani Babati ili kukidhi haja ya kusogeza Huduma za kipolisi kwa Wananchi. Hayo yamesemwa leo Julai 23, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo: Milioni 450 zajenga zahanati tisa Babati vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amefanya Mkutano wa hadhara katika Vijiji vya Endakiso na Arri na kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi ikiwa ni Mkutano wake wa 93 kati ya Vijiji 102 kwenye kata 25 za Jimbo la Babati...
Back
Top Bottom