baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miezi mitatu baada Oktoba 29, waliofiwa bado wasaka wapendwa wao

    Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita. Mwandishi huyo wa habari mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama tarehe 30 Oktoba...
  2. JamiiForums Tanzania Je Hii Ndiyo Kazi Waliyopewa Wanachama wa Chaumma (G55) Baada ya Kuukosa Ubunge?

    Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi Chadema CCM ACT Wazalendo Chaumma Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  5. JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  6. JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  8. JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  9. JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  11. JamiiForums Tanzania Digital Sadism Contents Creators wa kisiasa wamekata pumzi baada ya kubainika kua ni matapeli wa pesa kimtandao, kisaikolojia, na wapenda fujo

    Nguvu na umaarufu wa uzushi, uchochezi na porojo zao za kujaribu kuwafarakanisha wananchi na serikali yao vimekosa nguvu kabisa sasa, hasa baada ya waTanzania wengi kubaini kwamba wanarubuniwa, wanatumika na kutapeliwa kisaikolojia kwa kwa kuuziwa hadidhi, picha na video za uongo zenye maudhui...
  12. JamiiForums Tanzania Ebu tazama huu ulinganishi wa silaha na budget ya kivita kati ya US na IRAN alafu kuna mtu anaandika humu kuwa US amekimbia baada ya kutishwa na Iran

    ✈️ Total Military Aircraft: 🇮🇷 Iran ⟶ 600+ 🇺🇸 USA ⟶ 13,000+ 🚁 Attack Helicopters: 🇮🇷 Iran ⟶ 150+ 🇺🇸 USA ⟶ 5,400+ 💥 Missiles: 🇮🇷 Iran ⟶ 3,000+ (short & medium range) 🇺🇸 USA ⟶ 10,000+ (ICBM, cruise, precision) 🛩️ UAV / Drones: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸 USA ⟶ 11,000+ 🛡️ Tanks: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siku nilioyomuona mama anauza dhahabu zake ilikuwa ni kunusuru nyumba isiuzwe, baada ya miezi 6 walirudi, hakukuwa na cha kuwapooza nyumba ikauzwa

    Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita. Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi sasa wamefunguka akili baada ya yale matukio. Nachoona sasa ni Mipango ya Mungu

    Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna mvuto wala heka heka. Hii ni ishara kuwa watanzania sasa wamekua na kukataa kutumika. Wamegundua kuwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  17. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  18. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwaju coolest guys wa JF sasa tuwajue the meanest a.k.a mabakibencha wa JF😂

    secretarybird ELI COHEN nyau de adriz Red black Chizi Maarifa mzabzab Taja wengine
  20. JamiiForums Tanzania Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…