Hiroki Azuma (東 浩紀, Azuma Hiroki) (born May 9, 1971) is a Japanese cultural critic, novelist, and philosopher. He is the co-founder and former director of Genron, an independent institute in Tokyo, Japan.
Mtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya magonjwa ya mfumo wa hewa.
Mgonjwa akiona kapewa Azuma anakataa au anachukua ila akifika nyumbani...
Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID??
Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni ugonjwa unaotokana na complication ya UTI kwa maana hiyo hata matibabu yake ni ya kirahisi Dozi huenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.