Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu.
Fwanda...