aziz

Aziz (Arabic: عزيز‎, ʿazīz, [ʕaziːz]) was originally a Northwest Semitic Phoenician-Aramaic-Hebrew-Arabic word, but is now much more commonly (but not exclusively) known as a Central Semitic Arabic male name. The feminine form of both the adjective and the given name is Aziza.
Aziz in Arabic is derived from the root ʕ-z-z with a meaning of "strong, powerful" and the adjective has acquired its meaning of "dear, darling, precious". It is a cognate of Hebrew oz עוז meaning "might, strength, power". The Semitic word refers to the "power and glory" of deities and kings. In the Latinised form "Azizus" it is attested as the name of one of the Arab Priest-Kings who ruled Emesa (the modern Homs, Syria) as clients of the Roman Empire.
In ancient Levantine mythology, Azizos or Aziz is the Palmyrene Arab god of the morning star.
The Arabian goddess Al-Uzza, also related to the planet Venus, is named from the same root ʕ-z-z.
Al-Aziz is one of the names of God in Islam. The "Al" makes the word "Aziz" proper. "Aziz" without "Al" is used as a royal title borne by the high nobles of Egypt, being a title borne by the prophet Joseph in the Quranic Surah-e-Yusuf, and also by the Biblical Potiphar, referred to in the Quran as Aziz.
It is used in existing Semitic languages such as Arabic, Assyrian Neo Aramaic, Mandic, Hebrew, and also in non-Semitic languages like Turkish, Kurdish, Armenian, Azerbaijani, Persian, Urdu, Pashtu, Dari, Kazakh, Kyrgyz, Turkmen, Uzbek, Uyghur, Balochi, Bengali, Somali, Indonesian, and Malaysian.
Aziz is a common masculine given name, especially in the Muslim world but it has also continued to be used by non-Muslim peoples in the Middle East, e.g. Assyrians, and Mandeans.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msimuoneshe Aziz ki hii

    Nimetoa tu huko Twitter kwa wananzengo Lakini Kuna wananchi watoa comment kama huyu👇🤣
  2. JamiiForums Tanzania Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili. Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  4. JamiiForums Tanzania Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

    Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Aziz Ki anachumbia now

    angalieni live zamaraditv
  6. JamiiForums Tanzania Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  7. JamiiForums Tanzania Nimealikwa kwenye harusi ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki. Are you invited?

    Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki. Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome. Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

    Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi Prince Dube alivyopondwa jana. Tusiwakatie tamaa wachezaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Aziz K muislam?

    Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada. Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day. Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
  11. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

    Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
  12. JamiiForums Tanzania Kama inawezekana Aziz ki na Dube wavunjiwe mikataba wakiwa hapohapo uwanjani

    Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote. Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii. Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu ambayo ni Rostam Aziz?

    Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu? Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal...
  15. JamiiForums Tanzania Dube na Aziz Ki kuanza kutupia magoli. Wazee wameshamwelekeza Dube na kumtengeneza

    Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu. Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu yake na mwenzie Baleke. Hawa jamaa watatupia magoli mpaka amshangae. Lazima wafungaji bora wawili...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi alizoonesha Aziz Ki kweli yeye bado ni mchezaji Professional?

    Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida. Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno. Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobeto ana kesi ya kujibu kushuka kiwango cha Aziz Ki, Chama ni mzee, ana mechi zake, Dube anazuzuliwa na pesa alizolipwa GSM

    Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani. Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM...
  18. JamiiForums Tanzania Jina la Azizi lilivyo na “bahati” Tanzania

    “Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.” –Rostam Abdulrasul Aziz, June 26 2023. Angalizo: Bahati hii haihusishi Maazizi wote, sio wewe Aziz Ali wa Mtongani wala Aziz ki! Usijichanganye...
  19. JamiiForums Tanzania Aziz Ki Ameshamjulia Camara wa Simba

    Leo akimwiga Diara kupanda na timu atalia sana.
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…