azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga umeanza kuwa na utamaduni wa ngoma za wasukuma wagika na wagalu

    Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo. Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya vizuri nje na ndani ya uwanja. Utamaduni huu unaoanza kujengeka,ni kama wa ngoma za jadi za...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Manula ameivunja ndoa ya Simba na Azam Sheikh akiwa Yanga

    Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia Azam lakini Simba wakamwekea ngumu kwakuwa Inafahamika kuwa Simba iliumia sana kunyang'anywa na Azam...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana shituka, mpira wa miguu ni biashara ya watu

    Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana. Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na mamilioni. Somebody mnayemwita msemaji wa timu yenu anawaambia tusikubali lazima tujaze uwanja nyie kwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Timu yangu bora ya msimu wa 2024/25 ni Azam FC nikiwa kama shabiki mpya

    After several reviews of the last 2 matches, I came to the conclusion that Azam FC has the best squad in the Tanzania NBC Premier League.( team bora sana) I know people will say Yanga FC has the best team, but if you remove the first 11 of both teams, Azam FC has more squad depth in terms of...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Azam Complex kutumiwa na vilabu 6 michuano ya kimataifa msimu 2024/2025

    Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Sababu tofauti zimechangia kuzifanya timu hizo kuchagua uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC ambazo ni usalama duni katika baadhi ya nchi...
  7. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga hii ni kama maji usipoyanywa utayaoga, mechi 6 magoli 13 karuhusu magoli 4 tu!

    Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
  8. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Yanga mmejipata kwenye ubora wenu

    Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile. Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CEO wa Azam, Popat atoka nduki kwa Mkapa baada ya timu yake ya Azam kukandwa na Yanga

    Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani. Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
  10. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

    Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan. Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Azam yaonjeshwa ladha ya ligi kuu ya mabingwa

    Klabu ya Azam fc yaonjeshwa ladha ya mchezo wa ligi za mabingwa kwa kupokea kichapo cha bao nne kwa moja dhidi ya wenyeji wao Wydad Casablanca inayoongozwa na aliyekua kocha wa Mamelod Sundowns, Rulan Mokwena katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25, Hata hivyo azam...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Azam FC yachezea koki, yapigwa bao 4-1

    FT Wydad 4-1 Azam
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Azam FC ni vituko, selling kipre Jr for 300k USD. with CAFCL next

    kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc. which made Feisal shine. Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

    Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Azam FC kushirikiana na Fauntain Gate Prinsess

    Azam FC tunayo furaha kuutangazia umma kuwa tumeingia makubaliano ya mwaka mmoja ya ushirikiano na klabu ya soka la wanawake ya Fountain Gate Princess. Makubaliano hayo ni katika kukidhi kanuni ya CAF, iliyoanza kutumika msimu uliopita inayozitaka klabu zinazoshiriki michuano ya Afrika, kuwa na...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Azam FC yajiondoa Kombe la Kagame

    Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar. Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV,Meneja Habari na Mawasiliano...
Back
Top Bottom