ayatollah khamenei

Seyyed Ali Hosseini Khamenei (Persian: سید علی حسینی خامنه‌ای, romanized: Ali Hoseyni Xāmene’i, pronounced [ʔæˈliː hosejˈniː xɒːmeneˈʔiː] ; born 19 April 1939) is an Iranian Twelver Shia marja' and politician who has served as the second supreme leader of Iran since 1989. He previously served as third president of Iran from 1981 to 1989. Khamenei's 34-year-long rule makes him the longest-serving head of state in the Middle East, as well as the second-longest-serving Iranian leader of the last century after Shah Mohammad Reza Pahlavi.
According to his official website, Khamenei was arrested six times before being sent into exile for three years during Mohammad Reza Pahlavi's reign. After the Iranian revolution overthrowing the shah, he was the target of an attempted assassination in June 1981 that paralyzed his right arm. Khamenei was one of Iran's leaders during the Iran–Iraq War in the 1980s, and developed close ties with the now powerful Revolutionary Guards which he controls, and whose commanders are elected and dismissed by him. The Revolutionary Guards have been deployed to suppress opposition to him. Khamenei served as the third president of Iran from 1981 to 1989, while becoming a close ally of the first supreme leader, Ruhollah Khomeini. Shortly before his death, Khomeini had a disagreement with the heir he had chosen – Hussein Ali Montazeri – so there was no agreed-on successor when Khomeini died. The Assembly of Experts elected Khamenei as the next supreme leader on 4 June 1989, at age 50. According to Akbar Hashemi Rafsanjani, Khamenei was the man Khomeini had chosen as his successor before dying. Khamenei has been head of the servants of Astan Quds Razavi since 14 April 1979.
As supreme leader, Khamenei is the most powerful political authority in the Islamic Republic. He is the head of state of Iran, the commander-in-chief of its armed forces, and can issue decrees and make the final decisions on the main policies of the government in many fields such as economy, the environment, foreign policy, and national planning in Iran. As supreme leader, Khamenei has either direct or indirect control over the executive, legislative and judicial branches of government, as well as the military and media. All candidates for the Assembly of Experts, the presidency and the Majlis (Parliament) are vetted by the Guardian Council, whose members are selected directly or indirectly by the Supreme Leader of Iran. There have also been instances when the Guardian Council reversed its ban on particular people after being ordered to do so by Khamenei.
There have been major protests during Khamenei's reign, including the 1994 Qazvin protests, the 1999 student protests, the 2009 presidential election protests, the 2011–12 protests, the 2017–18 protests, the 2018–19 general strikes and protests, the 2019–20 protests, the 2021–22 protests, and the Mahsa Amini protests. Journalists, bloggers and others have been imprisoned in Iran for insulting Supreme Leader Khamenei, often in conjunction with blasphemy charges. Their sentences have included lashing and jail time; some have died in custody. Regarding the nuclear program of Iran, Khamenei issued a fatwa in 2003 forbidding the production, stockpiling and use of all kinds of weapons of mass destruction.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    Namshauri Ayatollah Khamenei Jr. atoe fatwa dhidi ya Netanyahu na Trump

    Kama wao wamesema watamsaka wamuue, kwanini naye asiwafanyie kama Ayatollah Khomeini did to Salman Rushdie? Jino kwa jino ili waonje ladha ya dawa yao waone utamu wake. Nimeudhika namna walivyoua mahululaini wa kiajemi. Poleni waamini na mnaongojea kufa na kupewa hao wadude. KKKKK. Naomba...
  2. Parabolic

    CCM ina la kujifunza kwa anguko la Ayatollah Khamenei

    Usiku wa kuamkia Machi 1, ndipo zilisikika habari za kifo cha Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Hossein Khamenei, kufuatia mashambulio ya majeshi ya Marekani na Israel yaliyoanza Februari 28, 2026. Mashambulio hayo hayo yalishatarajiwa kwa sababu Rais wa Marakeni, Donald Trump alishatangaza...
  3. Q

    Media za Tanzania zinaripoti mauaji ya Iran, ya 29/10 hawakuyaona?

    Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira. Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye...
  4. O

    Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

    Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio. Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa...
  5. U

    Maandamano makubwa sana Iran, watu 12,000 wauawa; Ayatollah Khamenei aagiza waandamanaji wapigwe risasi za moto!

    At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data. Exiled Prince Reza Pahlavi said he was in direct contact with the Trump administration, calling it a potential...
  6. Echolima1

    Tetesi: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi

    Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi iwapo vikosi vyake vya usalama vitashindwa kuzuia ghasia za nchi nzima. Mpango huo unaripotiwa kujumuisha kutoroka Tehran na wanafamilia wa karibu na...
  7. Jackal

    Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  8. The Zanzibar Echo

    Ayatollah Khamenei ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo wa Iran na Israel, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Picha za runinga ya serikali zilimuonyesha akiwasalimia waumini kwenye msikiti siku ya Jumamosi kabla ya tamasha la...
  9. U

    Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu"

    Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali. Soma kwa kimombo,Years ago, former intelligence minister Ali Younesi revealed...
  10. U

    Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

    Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama warithi watarajiwa akiwa amejificha kwenye chumba cha kulala. chini ya ardhi huku akikabiliwa na...
  11. U

    Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei akabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC)

    Khamenei ahamisha mamlaka kwa kamanda mkuu wa IRGC Iran kuwa Kiongozi Mkuu Ali Khamenei amekabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), huku kukiwa na kutokuwepo kwa siku tano mbele ya umma. Hatua hiyo inafuatia ripoti kwamba Khamenei amehamishiwa kwenye chumba cha...
  12. U

    Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

    Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours...
  13. Echolima1

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
  14. Echolima1

    Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

    Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na...
  15. U

    Ayatollah Khamenei, agiza vyombo usalama kuchunguza wa kina chanzo cha mlipuko mkubwa bandarini ulioua 40 na kujeruhi maelfu

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Ayatollah ahofia pengine ni hujuma za maadui mlipuko mkubwa bandarini ============ Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha mlipuko mkubwa katika bandari muhimu kusini mwa nchi hiyo, ambao...
  16. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

    Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!
  17. Echolima1

    Ndege-vita za Israel zafanikiwa kuingia iran na kuyapiga makazi ya ayatollah khamenei.!

    Majeshi shupavu ya Israel yameweza kujipenyeza na kuingia Iran kupitisha mpaka wa Iraq na kuweza kuyashambulia makazi ya Ayatollah Khamenei mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na serikali ya Iran kutokana na shambulio hilo lilivyokuwa kuna uwezekano mkubwa Ayatollah kuuwawa kwenye...
  18. Echolima1

    Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran: "Mheshimiwa Ayatullah Khamenei, Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali na miaka ya migogoro na kutoelewana ambayo tumeshuhudia katika miongo kadhaa iliyopita. Wakati...
  19. U

    Ayatollah Khamenei: Tuna ushahidi kuwa Marekani, Israel na Uturuki walihusika katika kumuondoa Assad madarakani

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria...
  20. Komeo Lachuma

    Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Back
Top Bottom