Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Amani ya Mwenye Enzi Mungu iwe juu yenu!
Nimemsikiliza Mh; Balozi Hamphrey Polepole maelekezo yake leo 29-08-2025, ikiwemo kuhusiana na kifo cha mpendwa wetu Rais wa JMT wa awamu ya Tano,
Nina jiuliza je ili kudhibitisha hili kwamba Mh; Rais kifo chake...
Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita.
Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema .
Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo
Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda
Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana.
Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.
Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na...
Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
Mikopo ya awamu ya Tano;
Treni ya kisasa ya SGR
Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP)
Daraja la Kigogo - Busisi
Tanzanite Bridge
John Kijazi interchange
Mfugale Flyover
Ubungo Bus Terminal
JK Nyerere international airport Terminal 3
Magufuli city - Dodoma
Barabara za Mwendokasi - BRT
Ikulu mpya -...
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.
Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote.
Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando.
Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam
Ni nini...
awamuyatano
comedy journalism
freedom of speech
hayati magufuli
journalism awamuyatano
matatizo ya uchumi
mwenyekiti wa kamati
tido mhando
uhuru wa kupata taarifa
uhuru wa kutoa maoni
uhuru wa vyombo vya habari
utawala wa magufuli
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano.
Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani.
Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja.
Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
It is trending now.
Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.
Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe.
Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki.
Mdogo...
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.