avn namba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Avn number

    Kwa ambae amekwama kupata Avn number , kwa ajili ya application nixext kwa 0622569980 Nikuelekeze free
  2. L

    JamiiForums Tanzania KERO NACTVET #AVN NAMBA zinasoma invalid, au kuna subscription fee au expire date?

    NACTVET (NACTE) huwa wanatoa Award Verification Number (AVN) kwa watu waliomaliza Diploma au Advanced Diploma. Namba hiyo hutumika kwenye admission mbalimbali, ikiwemo za vyuo vikuu kwa wanaotaka kujiendeleza, pamoja na kwenye mabaraza ya kitaaluma. Sasa shida iko hapa: unapewa AVN kwa kulipia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha St John's Dodoma hakijapeleka matokeo yetu NACTIVET na kutukosesha fursa ya kuendelea na masomo ya juu

    Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ). Licha ya kuwa nimepata vyeti vyote na kubahatika kusajiliwa na bodi zote zinazohusika na afya na pia hadi sasa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi

    Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo kutoka HESLB na wengine wanaotaka kuomba katika vyuo vingine bila kujali kama wanaomba mkopo au la...
Back
Top Bottom