athari za kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Athari za Kiuchumi Oktoba 29,2025

    Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na familia zilizowaongoza watoto wao kwenye shule za mbali zaidi pia zilibeba gharama za ziada za...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutabana matumizi yasiyo ya lazima ili kukabiliana na athari za kiuchumi zinazoendelea duniani

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akijibu ameyasema hayo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge Ado Shaibu kuhusu hatua za Serikali wanazochukua ili kukabiliana na athari za kiuchumi kutokana na vita inayoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu: Mwaka 2050 Tanzania itakuwa na watu Milioni 150. Asema kupungua Kwa uzazi kunatishia uchumi wa nchi

    Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea. Pia soma WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la...
Back
Top Bottom