askofu shoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Askofu Shoo: Watendao uovu na wanaokandamiza watu, hawapendi kutembea katika ukweli

    Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
  2. M

    Askofu Shoo: Viongozi wa dini kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja

    Akijibu hoja ya Athuman Mwachuma kuhusu baadhi viongozi wa dini kuwajengea chuki vijana katika mahubiri yao, Askofu Shoo amesema kuwa vijana wasikimbilie kuwalaumu viongozi wa dini kwa sababu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kwani kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja
  3. R

    Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  4. GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

    Friends and Our Enemies, Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante). Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu. Katika...
  5. GE2025 Askofu Shoo: Ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura

    Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka. Akizungumza leo...
  6. Mkandarasi huko Moshi ameingia mitini na Milioni 51 za askofu Shoo wa T.A.G

    Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo. Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa...
  7. W

    PreGE2025 Askofu Shoo: Maslahi binafsi yasitupofushe dhidi ya mazuri ya Rais Samia

    "Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
  8. PreGE2025 Askofu Shoo: Polisi msitumike na wenye Mamlaka kwa maslahi yao wasioitakia mema nchi yetu

    Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona...
  9. M

    PreGE2025 Askofu Shoo: Wanaosimamia uchaguzi mkuu sikilizeni sauti za wananchi

    Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia maoni ya wananchi pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa juu na wadau mbalimbali wenye...
  10. PreGE2025 Askofu Shoo: Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe kwenye uchaguzi

    Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wananchi kutokuwa tayari kuona yaliyofanyika katika chaguzi zilizopita yakijirudia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025. Askofu Shoo ametoa kauli hiyo Machi 16,2025 katika ibada ya kufungua jengo jipya la Kanisa Usharika wa...
  11. M

    Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

    NA SAMWEL JOHN LEMA Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa. Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
  12. PreGE2025 LGE2024 Askofu shoo ni kama amepoteza mwelekeo, hajui anataka nini

    Salaam wanaforum wenzangu Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind hiki alichokaa madarakani Soma pia: Kuelekea 2025 - Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais...
  13. PreGE2025 LGE2024 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

    Wakuu, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
  14. LGE2024 Askofu Shoo: Kampeni zimeanza na upinzani wameanza kunyanyaswa!

    Wakuu, CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli? ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024...
  15. LGE2024 Askofu Fredrick Shoo alia na rafu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja mbinu zinazotumika kuengua Wagombea!

    Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini. Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
  16. LGE2024 Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) watoa wito wananchi kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo...
  17. PreGE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  18. T

    Viongozi wengi wa dini wapo kimaslahi na wala msisemee askofu shoo kwa maneno yake

    Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
  19. PreGE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

    KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja. 2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
  20. B

    PreGE2025 Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais wetu

    "Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…