askofu ruwaichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lucy Michael na wenzake wafanikiwa kudhibiti mipango ya Fr. Kitima na Askofu Ruwa’ichi kuingiza siasa za CHADEMA ndani ya kanisa Katoliki

    Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo wakiongozwa na Lucy Michael na Katekista Joseph Ludovic, waliojitokeza wazi wazi kukosoa na kupinga...
  2. Alleged Catholic congregants protest at the Vatican Embassy in Tanzania as they file complaints against Archbishop Ruwa’ichi and Father Kitima

    About 100 Catholic congregants on Monday, January 5, 2026, protested at the Vatican Embassy in Tanzania, where they submitted a formal letter of complaint against two senior Church leaders. The protest targeted the Archbishop of the Archdiocese of Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, and...
  3. PostGE2025 Askofu Ruwa'ichi: Mkiua nyoka wote, panya watawasakama mpaka kieleweke

    Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
  4. GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Taifa letu limejeruhiwa, hakuna AMANI bila HAKI

    "Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa...
  5. R

    Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

    Sitashangaa ukute Task Force inapanga kumteka Askofu Yuda Tadei Ruwa'ichi kwa sababu amezungumzia kuhusu utekaji. Adui unayemuweza, usiamuachie Mungu 2910. By Vicensia Shule
  6. GE2025 Tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani Hali ya nchi juu ya haki ya uhai tunapomkumbuka baba wa taifa 2025

    Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
  7. M

    Hongera kwako Baba Askofu Mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kwa kuteuliwa na Papa Leo XIV

    Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume Ulimwenguni kote ofisi zikiwa makao makuu Vatican. Ni miongoni mwa wa Afrika watano walioteuliwa katika...
  8. Askofu Ruwa’ichi: Kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hatupaswi kujiita Kisiwa cha Amani

    Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale yanayoendelea zama hizi katika nchi yetu, nashauri tusithubutu kujiita kuwa ni kisiwa cha amani...
  9. Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  10. L

    PreGE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
  11. Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  12. Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…