PASCHAL MAYALA NA KABURI LA MEDIA!
Nimeona taarifa inayosema Baraza la Ithibati la Waandishi wa Habari limempa Paschal Mayala saa 24 athibitishe kauli yake kuwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji wa msiba wa Kadinali Pengo kuwashangilia mawaziri wakuu...
ASKOFU MWAMAKULA APATA WITO KUFIKA MBELE YA TUME YA RAIS!
Ndugu Watanzania!
Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Siku ya Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, Mhashamu Baba Askofu Mwamakula aliletewa barua iliyotoka Tume ya Rais ya...
Ndugu Watanzania!
Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Siku ya Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, Mhashamu Baba Askofu Mwamakula aliletewa barua iliyotoka Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian Tanzania, Emmaus Mwamakula, amependekeza kuwa kila mkoa ambako mauaji yalifanyika, Oktoba 29, 30 na 31 mwaka hii, ipangwe siku ambayo watu watakusanyika uwanjani kufanya sala za wafu na kuweka mashada ya maua.
Askofu huyo ameandika hayo Desemba 15, 2025...
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!
Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano...
Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenda mtandao wa Facebook Ikieleza kuwa Bangi Ekari 10 zimepatikana Katika Shamba la Askofu Emmaüs Bandikile..je Taarifa Hiyo Ina Ukweli Kiasi Gani.
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?
Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na jamaa zake wa karibu.
Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanywa na...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako.
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako.
Kanisa Lako Liko Wapi?
Ni muhimu kujua eneo la kanisa lako. Je, liko katika jiji, kijiji, au eneo maalum? Mahali...
KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'!
Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais alimtuma kwangu akiniomba nishawishi Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Tundu Lissu waridhie wabunge wanawake 19...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA
Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa...
“Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.”
“Lakini iweje mtu...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.