arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal: Mafanikio ya Klabu Hayaji Kwa Bahati

    Tuwe Wakwelii... Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal. Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili: Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
  3. JamiiForums Tanzania Full Time: Arsenal 0 - 1 PSG | UEFA Champions League | Nusu Fainali | Aprili 29, 2024

    Arsenal 0 - 1 PSG | UEFA CHAMPIONS LEAGUE | Aprili 29, 2024 Dakika 16, PSG bado yupo mbele
  4. JamiiForums Tanzania Mi ningekuwa shabiki wa arsenal hata nisingehangaika kuangalia maana hakuna mahala wanakwenda

    ,🤣 Active nipigwe ban ya mwezi kama asenyo akienda fainali
  5. JamiiForums Tanzania Real Madrid come back vs Arsenal

    Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal. Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Hii Dunia Ina vituko sana,Kuna watu wanasema Real Madrid anamtoa Arsenal

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid). Huwa kila siku...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mikel Arteta na mchakato wa Arsenal

    Tangu Mikel Arteta achukue nafasi ya ukocha Arsenal mwezi Desemba 2019,Safari imekuwa na hisia Kali kwa mashabiki na wapenda soka kwa ujumla.Kwa upande wa mashabiki wamelazimika kuendana na matokeo ya kushangaza yanayo ikuta timu yao. Lakini mchakato huu imekuwa na vipengele vikuu vinne...
  8. JamiiForums Tanzania Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  9. JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

    Leo ni usiku wa ulaya. Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya. Kuna Bayern Vs Inter. Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid. Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
  10. JamiiForums Tanzania Premier League imerejea, Arsenal Uwanjani, mashabiki wa Man U mpo tayari?

    Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo...
  11. JamiiForums Tanzania Arsenal hatoshinda taji lolote kwa mismu huj wa 2024/25

    Kwenye ligi Arsenal kashaachwa alama 15 na vinara Liverpool. Kwenye Uefa wapo hatua ya 16 bora huku wakiwa na uongozi wa magoli 7 katika mchezo wa kwanza. Naambiwa akivuka hapo atakutana na mshindi wa Real Madrid Vs Atletico Madrid. Kwa tafsiri ndogo, Arsenal hatoboi hapo robo fainali. Ndio...
  12. JamiiForums Tanzania EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Wazee naomba kuuliza hivi Arsenal na Fly Emirates ni mkataba wa milele?

    Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
  15. JamiiForums Tanzania Arsenal 5-1 Manchester City

    Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya Manchester City katika Ligi Kuu ya England "Premier League" kwenye Uwanja wa Emirates Magoli mengine yamewekwa wavuni na Thomas Partey, Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi. Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
  17. JamiiForums Tanzania Arsenal ni bingwa wa UEFA msimu huu

    Najua Kuna vitimu vidogo vinahangaika kutaka kubeba UEFA ila napenda kuwatangazia kwamba Ile timu ya makombe inaenda kulinyakua hili kombe mwaka huu na timu hiyo ni arsenal the gunner watoto wa mjini
  18. JamiiForums Tanzania Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madee aipeleka picha ya Rais Samia London kwenye mchezo wa Arsenal na Ipswich

    Wakuu Uchawa unavuka boda sasa == Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya Ipswich, akisema kuwa anaunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya michezo. Pia, Soma: Rais Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Arsenal lini tutabeba UEFA Champions league?

    Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu. Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…