An arrest warrant or bench warrant is a warrant issued by a judge or magistrate on behalf of the state which authorizes the arrest and detention of an individual or the search and seizure of an individual's property.
Hili ninalisema nikiwa na uhakika nalo wa asilimia zaidi ya 100.
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai( ICC) inaenda kutoa Hati ya Kukamatwa kwa Samia na watu kadhaa wa Serikali yake mwaka huu 2026 kwa matukio ya mauaji na kupoteza watu wakati wa uchaguzi na mengine kabla ya Uchaguzi...
Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia imepambana sana kuzuia hili ni kielelezo tosha kuwa Marekani imeamua kujiweka kando na huyu muuaji wa...
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.
Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.
Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.
Nategemea ICC...
Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC
Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.