application

  1. JamiiForums Tanzania Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

    Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
  2. JamiiForums Tanzania DENTAL THERAPY APPLICATION

    hello people,,naombeni msaada wa kupata link ya application kwenye chuo cha mbeya school of dental therapist au hata official website yao maana mtandaoni siwaelewi elewi
  3. JamiiForums Tanzania Basic Computer Application

    Hellow wanajamii?Habari,Ninatafuta kazi ya kufundisha soma la Basic Computer Application katika vitu vifuatavyo. 1.Introduction to Computer 2.Microsoft Word 3.Microsoft Excel 4.Microsoft Publisher 5.Microsoft Powerpoint 6.Microsoft Excel 7.Internet and email Pia nafundisha na basics of...
  4. JamiiForums Tanzania Inventory mgt spreadsheet application

    Karibu sana ujipatie mfumo huu madhubuti kwa bei nafuu kabisa.. Tunza biashara yako na epuka kuibiwa!! Ni mfumo mrahisi sana kuutumia.. Ni Mfumo wa Microsoft Excel uliotengenezwa kwa kutumia Visual Basic for Applications (VBA)
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Shazam application

    Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa Kuhusu hii app..inafanyaje kazi Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app. Je, ni msanii anaweka? Je, ni bloggers Au Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app Msaada please.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya software application development

    Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu application za vyuo

    Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
  8. JamiiForums Tanzania Roadmap for learning flutter (mobile application framework)

    Programming Language Dart IDE for development VsCode Android Studio intellij User Interface Widgets statefull widget stateless widget accessibility Inherited widget Theming Localization Style Material...
  9. JamiiForums Tanzania Application ya photos imeharibika bila sababu

    Habari Jf, Application ya photos ya pc window 10 imeharibika bila sababu. Naomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie jinsi gani nitaitengeneza maana ndio ninayotumia tu. Kama kuna application nyingine naomba mniambie ili niipakue. Nisaidieni tafadhari.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia Application ya CamScanner na WPS for free

    Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa. Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo applications katika features zote for free?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa Application ya kutransfer text message kwenye iphone

    Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
  12. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Playstore Application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki download pesa napataje?

    Wataalam, Nawezaje kuweka play store application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki-download pesa napataje?
  13. JamiiForums Tanzania School Managment Spreadsheet application

    School Results Management Spreadsheet Application! Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa sasa ni kwa ajili ya Pre and Primary School) pamoja na Kutoka reports za wanafunzi za kutuma kwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Computer application

    Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer. Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi Awe anatokea...
  15. JamiiForums Tanzania Application to watch sports TV channels online in Brazil

    Hello, If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs Do you know other good apps?
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna vyuo vinaruhusu kufanya application bure kabisa?

    Habari za muda huu vijana, Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu kilichonistaajabisha ni nikukuta application zao ni bure kabisa for certificate, diploma na undergraduate...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhitajika namba za NIDA wakati wa application SUA

    Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
  18. JamiiForums Tanzania AVN application

    Vijina.., Nimeoomba AVN kwaajili yakuombea chuo. Ila kiukweli hatua ni nyingi mno nimepambana Nazo japo sina uzoefu ni mara ya kwanza na nimefanikiwa kumaliza pia wameniambia nisubiri ndani ya masaa 120.. Sasa nauliza ninaweza ku-edit kama itatakiwa kufanya hivyo hali kuwa nimetuma tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Eti tcu imeongeza muda wa kufanya application vyuo vikuu?

    mwenye taarifa aniambie jaman,maana kuna jamaa hapa kanipa taarifa ila bado sijapata uhakika!! karibuni wadau
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

    Naombeni msaada wadau, Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…