Mnamo Tarehe 30 Desember 2022, Majira ya saa 6 usiku, maofisa wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa walifika katika Hotel ya PKM Tarime Mjini na kumkamata Ndugu Lameck Cowiti. Operation ambayo ilionekana ya siri maana walimdaka nje ya uzio kabla hajaingia hotelini.
Alikuwa akitokea katika...
Hello Wadau!!
Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa.
Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Picha: Raiswa Chile Sebastian Pinera
Baraza la senate la Chile limepinga mchakato ulioanzishwa na upinzani uliolenga kumuondoa madarakani Rais Sebastian Pinera.
Upinzani ulitaka Pinera ang’olewe madarakani kufuatia sakata lililofichuliwa kwenye nyaraka za Pandora na pia kutokana na hatua yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.