anthony mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Minister of Minerals and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Blasio Kachuchu

    Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  2. PAYE

    Waziri wa Madini aagiza kufutwa leseni 73 za uchimbaji madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameiagiza Tume ya Madini kufuta jumla ya leseni 73 za utafutaji na uchimbaji wa madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kutoendeleza maeneo yao kulingana na sheria na matakwa ya leseni hizo.
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Mbunge Anthony Mavunde aanza kuchimba msingi ujenzi wa zahanati

    Mbunge wa Jimbo la Mtumba Mh. Anthony Mavunde ameshiriki na mamia ya wananchi wa Mtaa wa Maseya Kata ya Hombolo Makulu mkoani Dodoma kuanzisha ujenzi wa Zahanati katika mtaa huo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025. “Nawashukuru wananchi wa Maseya kwa kumchagua...
  4. A

    Hon. Minister Anthony Mavunde.

    Mheshimiwa Anthony Mavunde, Nitumie nafasi hii kukupa salamu na pongezi kwa jitihada zako kubwa katika kuimarisha maisha ya vijana wa Dodoma kupitia nafasi yako ya uongozi. Mimi ni kijana mkazi wa Dodoma, mjasiriamali, na mshiriki wa mashindano ya Mavunde Cup. Hata hivyo, kuna jambo ambalo...
  5. Pesa za Kutosha

    Tetesi: GE2025 Mussa Luhamo ampeleka puta Mavunde jimbo la Mtumba

    Mambo si shwari kwa Anthony Mavunde kwani wajumbe wamezidi kumkataa.
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Anthony Mavunde agawa “smartphones” kwa wenyeviti wa mitaa 222

    Nikiwa nimebakiza siku moja kabla ya kukoma kuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini leo saa 2:30 asubuhi kwenye ukumbi wa Jiji la Dodoma, nitazindua rasmi mfumo wa kidigitali wa kusikiliza kero za wananchi kwa uharaka kwa kupitia serikali ya mtaa. Hivyo nitauzindua huo mfumo rasmi na kukabidhi...
  7. W

    Dondoo za Aliyoyasema Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Mei 24, 2025 Jijini Dar es Salaam

    1. Ongezeko la Bajeti – Bajeti ya Wizara ya Madini imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kutoka shilingi bilioni 89 mwaka wa fedha 2023/2024 hadi shilingi bilioni 231 kwa mwaka 2024/2025. Kwa mwaka ujao wa fedha 2025/2026, tumeidhinishiwa bajeti ya shilingi bilioni 224. Asilimia kubwa ya bajeti...
  8. T

    Ujumbe kwa Waziri wa Madini, Mh. Anthony mavunde kutokana na mkutano na wanahabari leo

    Ndugu Waziri Mavunde, Salaam.. Nimefuatilia mkutano wako na wanahabari, najaribu kuweka yatokanayo.. 1. Itafaa sana wakati mwingine kwa mikutano km hii iandaliwe kwa staili ya hybrid kuongeza ushiriki na pengine uwezekano wa kupata michango bora zaidi, km kweli mna lengo la kuongeza...
  9. upupu255

    PreGE2025 Mavunde agawa Matofali 41,000 na Saruji mifuko 2,050 kwa Kata zote za Dodoma Mjini kwa Miradi ya maendeleo

    Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Mfuko wa Jimbo. Akizungumza wakati wa zoezi hilo...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  11. Roving Journalist

    Anthony Mavunde asema Serikali imeingiza Shilingi Bilioni 726 katika Sekta ya Madini kati ya Julai 2024, hadi Aprili 2025

    WIZARA ya Madini kupitia Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi 726,219,317,398.14 ambapo Shilingi 612,593,046,886.50 ni malipo ya mrabaha na Shilingi 113,626,270,511.64 ni malipo ya ada ya Ukaguzi. Akizungumza Bungeni leo Mei 2, 2025 Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (MB)...
  12. Roving Journalist

    Zaidi ya Leseni 8,000 za Uchimbaji Madini zatolewa, maeneo 65 yatengwa

    TUME ya Madini imetoa leseni 8, 501 katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 ikilinganishwa na lengo la kutoa leseni 10,294. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 2, 2025 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde (MB) akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
  13. Roving Journalist

    Tanzania-Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini. Balozi Emily Burns ambaye pia ametumia kikao hicho kwa ajili ya kujitambulisha,amesema nchi ya Canada ipo...
  14. Mindyou

    Waziri wa Madini Anthony Mavunde: Marufuku kumwingiza mgeni mwenye leseni ndogo

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amesema ni marufuku kwa mtu yeyote mwenye leseni ndogo ya uchimbaji wa madini kumwingiza mgeni au mchimbaji mwingine asiyehusika moja kwa moja na leseni hiyo. Akizungumza Aprili 24, 2025 jijini Dodoma katika hafla ya "Kurasa 365", Mhe. Mavunde amesisitiza...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Anthony Mavunde: Nimejenga soko kubwa Dodoma ambalo litawasaidia wanawake

    Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Mavunde amvaa mwekezaji mgodi wa dhahabu Handeni

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema Serikali haitazihuisha leseni za Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayoendesha mgodi wa dhahabu wa Magambazi, Handeni mkoani Tanga, kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake. Akizungumza jana Jumapili, Aprili 6, 2025, katika mkutano wa hadhara katika...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Anthony Mavunde: Nitaendelea kutoa kwa jamii kwa upendo na sio kutafuta ubunge kama watu wengine wasemavyo

    Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony peter Mavunde ameendelea kuigusa jamii kwa njia nyingi ambapo leo machi 19 , 2025 amesema ataendelea kufanya hivyo ikiwa ni upendo kwa jamii na sio kutafuta ubunge kama watu wengine wasemavyo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  18. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mavunde Akabidhi Kompyuta na Printres kwa Shule 50 za Sekondari Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu nchini, ikiwemo ujenzi wa vyuo vya VETA, shule za msingi na sekondari, hatua...
  19. upupu255

    PreGE2025 Mavunde awakabidhi shamba la Zabibu Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo zaidi ya 300 Dodoma

    Wafanyabiashara wadogo Kutoka Dodoma (Uwamama) Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo wa masoko zaidi ya 300 wamekabidhiwa shamba la Zabibu lenye Ukubwa zaidi ya hekali mbili na Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ambae pia ni waziri Wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde Kwa ajili ya kujiendeleza...
  20. Just Pray

    Anthony Mavunde: Michakato ya kuanza ujenzi wa mpira Dodoma ilikuwa mingi hadi Rais Samia alipoingilia kati ndiyo ikawezekana

    Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana...
Back
Top Bottom